Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi mkoani Mara kimeongezeka kutoka asilimia 3.6 miaka mitano iliyopita hadi kufika asilimia 5 mwaka jana.
Hali hiyo inatokana na sabab...
Siku zote mshumaa ukizimika huacha giza, ndicho kilichotokea kwa wadau na mashabiki wa burudani mwishoni mwa mwaka 2023, licha ya kuwa wapo wasanii wengi chipukizi waliojitoke...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #IceSpice ameshika nafasi ya pili kuwa mwanamuziki aliye fuatiliwa sana na kutafutwa kupitia Google kwa mwaka 2023 nchini humo.
Goog...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest amemtambulisha rasmi mtoto wake #NorthWest katika ulimwengu wa muziki kwa kumshirikisha kwenye Album yake mpya ya ‘Vultere...
Baada ya kuachia album yake ya ‘Pink Friday 2’ na kufanya vizuri nchini Marekani na duniani kote, sasa ‘rapa’ Nicki Minaj ameachia mkeka rasmi wa sehem...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na ‘klabu’ ya Inter Miami kuingia dimbani na ‘timu’ ya Al Nassr, sasa uvumi huo umethibitishwa kuwa ukweli, ambapo mia...
‘Ligi’ ya nchini Uturuki yasimamishwa baada ya muamuzi, Halil Umut kushambuliwa ndani ya uwanja katika ‘mechi’ iliyochezwa usiku wa Jumatatu dhidi ya #...
Mwaka 2023 ukiwa unaelekea kukatika mtandao wa Google tayari umetoka matukio yaliyoongoza kutafutwa kwenye mtandao huyo.
Google imetoa matukio hayo katika sekta mbalimbali iki...
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Afrika Kuzini Bulelwa Mkutukana anaye julikana kama Zahara (35) aliyetamba kupitia wimbo wake wa ‘Loliwe’ amefariki dunia,
Taarif...
Muongozaji video za muziki wa Bongo Fleva Nic Davie maarufu kama Nisher amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Disemba 12.
Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na ba...
Muda machache umepita tangu mume wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Cardi B, Offset kudaiwa kutoka kimapenzi na Chrisean Rock ambaye ni mama watoto wa mwanamuziki Bl...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameahidi kutoa misaada kwa watoto, Naira 100 milioni ambazo ni zaidi ya tsh 300 milioni kwa ajili ya sikukuu ya Christmas.Wizkid ameel...
Wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakitumia urembo wa make up kupaka kwenye nyuso zao kwa lengo la kupata muonekano tofauti, hasa wakienda kwenye masherehe au kwenye kazi zao...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West tayari amethibitisha kuwa albumu yake na mwanamuziki Ty Dolla Singn itatoka siku ya Ijumaa hii Disemba 15, 2023.Albumu hiy...