17
Kinachoendelea kwa Kapteni aliyedondoka uwanjani
Nahodha wa ‘klabu’ ya #LutonTown, #TomLockyer ambaye alidondoka uwanjani jana kutoka na matatizo ya moyo wakati ‘timu’ yake inacheza dhidi ya ‘ti...
17
Mfahamu mwanaume mwenye uraibu wa kula mifuko ya plastiki
Wakati baadhi ya watu wakisumbliwa na uraibu wa vilevi ulevi, sigara na vitu vingine, mfahamu mwanaume mmoja aitwaye Robert mwenye umri wa miaka 32 kutoka Oakland, nchini Mare...
17
Tiketi bure, Vaa jezi yenye nembo ya GSM
Meneja Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #Yanga, #AliKamwe amesema Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ amenunua tiketi zote za mzunguko kwenye mechi ya marudi...
17
Mtu mrefu zaidi duniani alivyoteseka na mapenzi
Sultan Kosen ambaye ni mkulima kutoka nchini Uturuki kwa sasa ndiye anashikilia rekodi ya kuwa mwanadamu mrefu zaidi duniani. Kosen ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 41 anataj...
17
Kocha atimuliwa kisa kipogo cha mabao matatu
‘Klabu’ ya #Sevilla imemfuta kazi ‘kocha #DiegoAlonso ‘klabuni’ hapo kufuatia kipigo cha 3-0 dhidi ya ‘klabu’ ya #Getafe kwenye &lsqu...
17
Jeddah Tower litakuwa jengo refu zaidi duniani likikamilika
Jengo la Jeddah Tower lililopo Saudi Arabia linatajwa kuwa jengo refu zaidi duniani endapo ujenzi wake utakamilika. Ujenzi wa jengo hilo ulisimama kwa miaka mitano na ukendele...
16
Kweli Asake anamuiga Burna Boy
Shabiki mmoja kupitia mtandao wa X (twitter) amedai kuwa msanii kutoka nchini Nigeria Asake anamuiga msanii mwenzaye Burna Boy.Hii inakuja baada ya Asake kuvunja 'gitaa' (guit...
16
Burna Boy amzawadia ex wake gari
Mkali wa afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy amnunulia gari aina ya Rolls Royce Cullinan aliyekuwa mpenzi wake ‘rapa’ Steff London.Burna alimzawadia gari Ex w...
16
Bibi wa miaka 93 asema uzee siyo kosa wanawake wasiogope
Bibi wa miaka 93 aitwaye Licia Fertz mwenye ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii anajaribu kubadilisha mawazo na mitazamo ya wanawake wengi ambao wanaogopa kuzeeka kwa ...
16
Diddy amkumbuka mama watoto wake
‘Rapa’ #PDiddy ambaye anakabiliwa na kesi za unyanyasaji wa kingono, ameuvunja ukimya baada ya kum-post aliyekuwa mpenzi wake mwanamuziki na model Kim Porter.Diddy...
16
Kanye amtaka Trump kuwatoa jela Larry, Young Thug
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Kanye West kupitia podcast aliyoifanya hivi karibuni amesema kuwa hatoweza kumuunga mkono, Rais wa zamani Donald Trump mpaka amtoe gerezani ...
15
Maajabu ya raia wa Bosnia, Adai ngozi yake ina sumaku
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni kutana na Muhibija Buljubasic raia wa Bosnia wakati akizungumza na tovuti ya Sarajovotimes, amesema kuwa ana nishati ndani ya mwili wak...
15
Nicki Minaj amkataa Kanye West mapema
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #KanyeWest inadaiwa kuwa na mpango wa kuipunguza ‘kolabo’ aliyoifanya na #NickiMinaj katika albumu yake ya ‘VULTURES&rsq...
15
Miwani ya Meta yenye uwezo wa kuona na kusikia
CEO wa Meta Mark Zuckerberg akionesha uwezo wa miwani inayotumia akili bandia (AI) katika kumsaidia kazi mbalimbali. Miwani hii inafahamika kwa jina la Ray-Ban Meta, ambayo Ma...

Latest Post