22
Vin Diesel atuhumiwa kwa unyanyasaji wa kingono
Muigizaji na producer kutoka nchini #Marekani #VinDiesel anakabiliwa na kesi ya udhalilishaji wa kingono kwa aliyekuwa msaidizi wake aitwaye #Jonasson.Mkali huyo wa 'Fast &...
21
Maokoto yamliza muigizaji taraji
Muigizaji kutoka nchini #Marekani Taraji P. Henson aangua kilio katikati ya mahojiano baada ya kuulizwa kuhusiana na kufikiria kuacha kufanya kazi ya uigizaji na kudai kuwa hu...
21
Aliyepewa pesa na Davido ageuka kituko
Mwanadada kutoka nchini #Nigeria, aliyepewa pesa na mkali wa #Afrobeat #Davido ageuka kituko mitandaoni baada ya kukataa kupeleka pesa hizo benki na kutembea nazo kila sehemu....
21
Chama, Kapama wasimamishwa
Uongozi wa ‘klabu’ ya Simba umewasimamisha kazi wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chota Chama kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu. Kupitia ukurasa wa Instagr...
21
Burna Boy aingiza billioni 20 kwenye show 7
Mwanamuziki kutoka Nigeria #BurnaBoy ameripotiwa kuingiza kiasi cha tsh bilioni 20 kwenye show 7 kati ya show 21 alizozifanya katika ziara yake ya ‘Love Damini Tour&rsqu...
21
Alicho sema Shetta baada ya mtoto wake kushinda
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Shetta ameweka wazi kuwa mtoto wake #Qayllah ambaye jana amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Taifa hakupata uongozi huo ghafla, alianza ...
21
Kanye ajipanga kujenga mji wake
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #KanyeWest anatarajia kujenga mji wake Mashariki ya Kati katika eneo lenye ukubwa wa ekari 100,000, ambapo utakuwa mji mkubwa zaidi ...
20
Mshambuliaji wa Arsenal aguswa na wahanga wa tetemeko
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya  #Arsenal na ‘timu’ ya taifa ya #England, #BukayoSaka, ametoa vyumba 50 vya ‘kontena’ kusaidia walioathiriw...
20
Will Paul awatolea uvivu mashabiki
Mwanamuziki kutoka nchini #Kenya, #WillPaul amewatolea uvivu mashabiki nchini humo akidai kuwa ‘hawasapoti’ wasanii wao. Ameyasema hayo baada ya mashabiki kutaka a...
20
Rihanna: Natamani kupata watoto zaidi na ASAP Rocky
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Rihanna amesema anatamani na yuko tayari kupata watoto wengi zaidi na mpenzi wake #ASAPRocky licha ya kuwa na watoto wawili. #Rihanna ame...
20
Mjengo wa Kanye uko sokoni
Ikiwa ni miaka miwili imepita tangu ‘rapa’ Kanye West kutoka nchini Marekani kununua nyumba iliyopo ufukweni jijini Califonia, sasa imeripotiwa kuwa nyumba hiyo ik...
20
Siku kama ya leo ilikuwa shangwe kwa Trump na Adolf Hitler
Kwenye historia tarehe kama ya leo Disemba 20, 1993 aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump alifunga ndoa na Marla Maples. Hata hivyo mwaka 2005 ndoa yao ilivunjika wakiwa wam...
19
Onana akiri kiwango chake kushuka
Kipa wa Manchester United, Andre Onana amekiri kiwango chake kimeshuka tangu alipotua Old Trafford, lakini amewatoa hofu mashabiki kwa kueleza kuwa soon mambo yatakuwa sawa. K...
19
Messi kukutana na klabu yake ya utotoni
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #InterMiami, #LionelMessi anatarajiwa kukutana na ‘klabu’ yake ya utotoni, #Newell’sold Boys ya #Argentine, katika ‘...

Latest Post