15
Tazama nyumba ya gharama kubwa zaidi duniani
Licha ya kuwa baadhi ya watu huwekeza kwa ajili ya kujenga nyumba za ndoto zao kwa kutumia kiasi kikubwa cha pesa fahamu kuwa ipo nyumba nchini Ufaransa iitwayo Chateau ya kar...
15
Kompyuta inayofanya kazi kama ubongo wa binadamu kuwashwa 2024
Kompyuta kubwa iitwayo DeepSouth ambayo ni ya kwanza duniani kutengenezwa kwa kuiga uwezo wa ubongo wa binadamu inatarajiwa kuwashwa rasmi na kufanya kazi ifikapo 2024. Kompyu...
15
Uwanja wa Real Madrid siyo poa, Unabadilika kama Kinyonga
Real Madrid imeboresha uwanja wao mpya wa Santiago Bernabeu, ambao kwa sasa una uwezo wa kujibadilisha na kutumiwa kwenye michezo ya aina nyingine tofauti na mpira wa miguu. U...
15
Albamu yamrudisha Kanye West Instagram
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KanyeWest, amerejea kwenye mtandao wa #Instagram baada ya kutotumia mtandao huo kwa zaidi ya miezi mitano. Kanye amerejea kipindi a...
15
Roboti yenye nguvu zaidi duniani
Kampuni ya utegenezaji roboti nchini China, imeunda roboti ya H1 (humanoid), inayosifiwa kuwa ndiyo roboti inayoongoza kuwa nguvu zaidi duniani kati ya roboti zote zenye sura ...
15
TPLB yatupilia mbali rufaa ya mchezaji aliyempiga mwenziye kiwiko
Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetupilia mbali rufaa ya ‘klabu’ ya #Yanga ya kutaka marejeo (review) ya adhabu ya mchezaji wao...
15
Mkubwa Fella: Walisema nitafeli kwenye muziki
Meneja wa wasanii na diwani wa Kilungule #MkubwaFella amefunguka kuhusu safari yake kwenye muziki kama meneja kwa kusema marafiki zake walisema atafeli kwenye muziki. Fella am...
15
Muimbaji wa nyimbo za injili afariki akitumbuiza jukwaaji
Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Brazili, Pendro Henrique mwenye umri wa miaka 30 amefariki dunia akiwa jukwaani wakati anatumbuiza Muimbaji huyo amedondoka ghafla a...
14
Swali la mtangazaji lamchukiza Jotter
Mchekeshaji kutoka Nchini Nigeria #BrainJotter ameonesha kuchukizwa na mtangazaji aliyemuuliza kuhusu utajiri wake. #Brain akiwa katika mahojiano aliulizwa kwa sasa utajiri wa...
14
Sababu michezo ya wanawake kuvunjwa mwezi Disemba
Ukiachana na ile kausha damu kumekuwa na michezo mingi yenye manufaa kwa wanawake ambayo hucheza kwa kuwekeza pesa zao, kukopeshana na kisha faida kugawana baadaye, utaratibu ...
14
T Touchez, Madee wakalia kuti kavu BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia wimbo wa mwanamuziki Madee alioachia siku ya jana tarehe 13 Disemba, kutokana na wimbo huo kukiuka maadili. Kwa mujibu wa barua il...
14
Beki wa Chelsea bado sana uwanjani
Beki wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ReeceJames ameendelea kupitia wakati mgumu kwani anatarajia kukaa nje ya uwanja hadi Februari mwakani baada ya kuumia tena. Beki huyo...
14
Cr7 aongoza kutafutwa Google
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Nassr Cristiano Ronaldo, siyo tu anaongoza kwa kufuatiliwa zaidi kwenye mtandao wa Instagram pia ni mchezaji ambaye anaongoza kutafutwa z...
14
Man City yahofiwa kuizuia Madrid kuchukua ubingwa
Meneja wa ‘soka’ kutoka nchini #Italia, #CarloAncelotti aitaja ‘timu’ ya #MachesterCity kuwa ndiyo inaweza kukipa changamoto kikosi chake cha #RealMadr...

Latest Post