‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Waka Flocka amedai kuwa mwanamuziki Doja Cat ndiye Madonna wa zama hizi akimaanisha kuwa maisha anayoishi ‘rapa’ Doja ndi...
Watumiaji wengi wa smartphones wamekuwa na utaratibu wa kuambatanisha jumbe wanazotuma na emoji mbalimbali, huku zikiwa na maana ya kuwakilisha hisia zao. Ikiwa zimebaki wiki ...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #NairaMarley ametishia kumshtaki muigizaji kutoka nchini humo #IyaboOjo kwa madai ya kumchafua kwa kuchapisha habari za uongo kipindi akikabi...
Siku zote waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, na msemo huu unajidhihirishia kwa mamba huyu mweupe ambaye ni nadra sana kuonekana.
Kulingana na ripoti k...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #TaylorSwift kwa sasa ndiye anayepata pesa nyingi katika show za muziki ambapo ziara yake ‘The Eras Tour’ imeingia kwenye Kitabu...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #MeekMill amesema wasanii wanapokuwa studio huandaa nyimbo zao kwa vibe, ni baada ya kutokubaliana na ushahidi wa mistari ya nyimbo z...
Muigizaji maarufu kutoka nchini #Marekani, #AndreBraugher amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Braugher aliwahi kuigiza tamthilia na filam...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage ameweka wazi kuwa anataka kununua ndege binafsi.
#Tiwa amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kueleza kuwa ni...
Katika kumaaliza mwaka U.S. News imetoa ripoti ya nchi zilizo na maisha bora zaidi kwa mwaka 2023, kwa kuangalia vigezo vya usalama wa huduma ya afya, uthabiti wa kiuchumi na ...
Mwandishi wa habari kutoka nchini Marekani Emily Matson, anadaiwa kujiua kwa kujirusha kwenye treni siku ya Jumatatu asubuhi katika kitongoji cha Fairview alipokuwa akii...
Muigizaji Lupita Nyong’o anatarajiwa kuongoza Baraza la Majaji katika tamasha la Kimataifa la filamu la Berlinale mwezi Februari mwaka 2024.
Kupitia ukurasa wa Instagram...