Daktari kutoka nchini Nigeria aitwaye #DkHagi anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyekuwa mjamzito baada ya kumfanyia up...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta baada ya kushirikiana na mfuko wa Ann Cephus kwa kuwapatia maelfu ya watu vitu ikiwemo nguo ...
‘Goli kipa’ wa ‘klabu’ ya #Barcelona, #MarcStegen anadaiwa kutoonekana kikosini kwa takribani miezi miwili, kwani anatarajia kufanyiwa upasuaji wa jera...
Wachezaji watatu wa ‘klabu’ ya #Yanga wameachwa kwenda katika mchezo wa #CAFCL dhidi ya ‘klabu’ ya #MadeamaSC utakaochezwa nchini Ghana siku ya Ijumaa....
Inadaiwa kuwa nusu ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, wamepoteza imani na ‘kocha’ wao Erik ten Hag, huku wachezaji wakihoji ufundishaji wake...
Baadhi ya mastaa wa soka wanapenda maisha ya bata nje ya uwanja, kununua ndinga kali, nyumba, na mambo mengine pia wapo wanaopenda kuvaa na kupendeza. Hawa hapa mastaa kumi wa...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Blueface ameamua kuondoka kwenye interview na #FunyyMarco baada ya mtangazaji kushindwa kutaja nyimbo zake tatu.
Blueface aliondoka s...
Wachora tattoo maarufu nchini Marekani Victor Hugo Peralta na mkewe Gabriela Peralta maarufu kama “cherubs of hell” wameendelea kushika rekodi ya wanandoa wenye ta...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Offset na mkewe Cardi B wamezua gumzo mitandaoni baada ya wawili hao kufuta urafiki kwenye mtandao wa Instagram.
Baadhi ya mashabiki ...
Kufuatia ajali ya gari aliyopata muigizaji Michael B. Jordan, weekend iliyopita sasa polisi wametoa ripoti kuhusiana na maendeleo ya muigizaji huyo na kueleza kuwa yupo salama...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity, #ErlingHaaland, huenda akapigwa faini na FA baada ya kumkashifu muamuzi #SimonHooper kufuatia sare ya 3-3 dhidi ya ‘k...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini, #ChidiBenz amefungukua na kudai kuwa hakupata kitu baada ya #DiamondPlatnumz kuingiza mstari kwenye wimbo wake mpya uitwao ‘Tunaishi nao&r...
Mvulana mwenye umri wa miaka kumi aitwaye Teddy kutoka Peppard, Oxfordshire, ametuma ombi kwa kampuni ya Apple akiitaka kubadili emoji iliyovaa miwani inayofanana na yake aina...
Meli kubwa zaidi duniani ya kitalii iitwayo "Icon of the Seas" inatarajia kuanza safari Januari 27, 2024, kutoka PortMiami nchini Marekani, na itaanza kwa ziara ya siku saba y...