Ikiwa una tatizo la kusahau 'kusevu' namba za simu ulizopigiwa, kisha unapata shida kuzipata fuata njia hii ili kuzirudisha utakapozihitaji.Ingia play store kisha pajua app ii...
Baba mzazi wa mchezaji wa ‘Klabu’ ya Yanga, Ibrahim Bacca mzee Abdallah Hamad tayari amewasili Dar es salaam akitokea kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kuishuhudia &l...
Kila binadamu ana siri zake ambazo hapendi watu wengine wazifahamu, lakini kumekuwa na baadhi ya watu waliogeuka kero kwenye usafiri wa umma (daladala) kwa kuwa na tabia ya ku...
Wanamuziki wa bongo fleva Zuchu na Harmonize ndiyo wasanii waliosikilizwa zaidi mwaka 2023 katika mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki wa #Boomplaytz, kutoka Novemba 2022 had...
Mlinda mlango wa ‘klabu’ ya Manchester United, Andre Onana anachungulia tundu la sindano kwa kuhofia kupoteza nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza ‘klabuni&r...
Mwimbaji anayeupiga mwingi katika Afrobeat Davido, ametoa siri na kufunguka njia anayoitumia kutengeneza muziki mzuri unaokuwa-hit duniani.Davido kupitia ukurasa wake wa X (Tw...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel amejipongeza kwa kujinunulia gari aina ya ‘Rolls Royce Cullinan’ akisheherekea kutimiza miaka 10 katika muziki.Msanii...
Mwanamume mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Melvin Townsend ambaye alipokea kichapo kutoka mkali wa ngumu Mike Tyson ndani ya ndege, amefunguma mashitaka ya kudai fidia ya ...
Kocha wa ‘klabu’ ya #Liverpool #JurgenKlopp amethibitisha kukosekana kwa mlinda mlango #AllisonBecker kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha la misuli ya paja kati...
Mwanamke mmoja kutoka nchini #Uganda aitwaye, Safina Namukwaya mwenye umri wa miaka 70 amezua gumzo mitandaoni baada ya kujifungua watoto mapacha akiwa na umri huo.
Kwa mujibu...
Kampuni ya #Netflix imeachia rasmi Squid Game the Challenge ambalo ni onesho la shindano la uhalisia lililohamasishwa na Tamthilia ya #Kikorea ya #SquidGame.
Ambapo washiriki ...
Raia mwenye asili ya Nigeria na Uingereza anayefahamika kwa jina la Idris Dayo Mustapha mwenye umri wa miaka 33 amekiri mahakamani kosa la udukuzi wa mitandaoni nchini Marekan...
Chuo kikuu cha Aga Khan jijini #Nairobi nchini Kenya kimebaini kufanya ngono zembe kwa vijana kumeongeza kasi ya maambukizi ya nchini humo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika...
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #Tottenham #MarcusEdwards amenusurika kifo baada ya kupata ajali wakati akielekea mazoezini akiwa katika gari aina ya Range Rover ...