27
Diarra awashusha presha mashabiki, Aitabiria ushindi Yanga
Kikosi cha ‘klabu’ ya #Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam alfajiri ya jana na moja kwa moja kwenda kambini kujiandaa na ‘mechi’ ijayo ya Kundi D ya L...
27
Kumbe Messi hajamsaliti mkewe
Familia na watu wakaribu wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #InterMiami #LionelMessi, wamekanusha vikali taarifa inayodaiwa kuwa mchezaji huyo amemsaliti mke wake #Antonela...
27
Rais wa TFF akanusha kumuita samatta timu ya Taifa
Rais wa TFF, #WallaceKaria akanusha kumchagua #Samatta kuwa katika kikosi cha Taifa Stars, baada ya kuwepo kwa tetesi zinazodai Rais huyo kamchagua mchezaji huyo kuwepo katika...
27
Haikuwa show, Ni watu nje ya hotel aliyokuwa amelala MJ
Hawa si watu waliojitokeza kwenye show, bali video hii ya miaka mingi iliyopita inaonesha watu wakiwa wamejaa nje ya chumba cha hotel alichokuwa amelala mfalme wa pop Michael ...
27
Kim Kardashian ageukia kwenye uchekeshaji
Mfanyabiashara kutoka nchini #Marekani, #KimKardashian anatarajia kuonekana katika filamu za vichekesho (Komedi) baada ya kupendezwa na uigizaji huo. Mwanadada huyo mwenye umr...
26
Idris: usiogope kusema malipo unayostahili, kwa kuhofia kukosa kazi
Muigizaji Idris Sultan ametoa ushauri kwa wanaoogopa kutaja kiwango cha malipo ya mshahara kwa kuogopa kukosa kazi.Idris amesema k...
26
Je unadhani ni sahihi kwa mzazi au mlezi kumbusu mtoto mdomoni
Imekuwa kawaida ya wazazi au walezi kutafuta njia mbalimbali za kuwafurahisha watoto na kuwafanya wanyamaze pindi wanapolia, tukiachana na michezo ya watoto ambayo imetengenez...
26
Alama za vidole vya Tupac na Biggie zaingizwa sokoni
Kadi zenye alama ya vidole vya waliokuwa wasanii wa muziki wa hip-hop marehemu Tupac na Biggie walizosaini baada ya kukamatwa kwao zaingizwa sokono. Alama hizo zinauzwa na Waf...
25
Kikosi cha Yanga chaanza safari kurudi Dar
Baada ya kuchezea kichapo cha mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo dhidi ya CR Belouizdad, katika hatua makundi ‘Ligi’ ya Mabingwa Africa, sasa kikosi cha ‘klabu&r...
25
Tyla kuja na ngoma nyingine disemba 1
Baada ya mwanamuziki kutoa Afrika Kusini #Tyla ambaye anafanya vizuri na wimbo wa ‘Water’, sasa msanii huyo anarudi tena mjini na ngoma yake mpya aliyoipa jina la ...
25
Mbosso akubali uwezo wa Kipre Junior
Mwanamuziki wa bongo fleva #Mbosso ameukubali uwezo wa mchezaji kutoka ‘Klabu’ ya Azam #KipreJunio baada ya kupiga hat-trick jana katika mcheza wao dhidi ya Mtibwa...
25
Romy Jons: Maisha yanazidi kuwa magumu
Kaka wa mwanamuziki Diamond, Romy Jons amefunguka kwa kueleza kuwa licha ya yeye kuwa na kibarua lakini bado maisha ni magumu.Romy kupitia ukurasa wake wa Instagram amewauliza...
25
Polisi achomwa kisu gerezani
Aliyekuwa polisi wa Minneapolis, #DerekChauvin, ambaye alipatikana na hatia ya kumuua #GeorgeFloyd, ameripotiwa kuchomwa kisu katika gereza la Arizona.Kwa mujibu wa vyombo vya...
25
Mashabiki wa Simba waanza kulipiza kisasi
Baada ya #Yanga kula kichapo cha mabao 3-0 dhidi #Belouizdad usiku wa kuamkia leo kwenye ‘mechi’ ya kwanza ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika mashabiki wa #Simb...

Latest Post