Leo katika Fashion mambo yamekuwa mengi na this time nita-deal na fashion kwa wanaume jinsi gani wanavyoonekana katika urembo wa hereni na vipini.Yaweza kuwa niajabu kwa wazee...
Baada ya mwanamuziki na muigizaji kutoka nchini Marekani Cassie kufungua kesi mahakamani kwa madai ya kunyanyaswa kingono na mkali wa ‘rapa’ Diddy hatimaye kesi hi...
Mwanamuziki kutoka #Colombia, #Shakira amefanya makubaliano na waendesha mashitaka kutoka nchini Hispania kumaliza kesi ya kukwepa kulipa kodi.Msanii huyo anakabiliwa na shaur...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Drake na mwanamuziki mwezie Taylor Swift wanashikiria rekodi ya ushindi wa muda wote katika Tuzo za muziki za Billboard (BBMAs) baada...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani ambaye pia ni mwandishi wa habari wa mitandaoni anayefahamika kwa jina la Jimmy Donaldson maarufu kama Mr Beast ame-trend kupitia mitanda...
Ni siku tano tuu zipite tangu ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Snoop Dogg kutangaza kuacha kuvuta sigara, hatimaye imegundulika kuwa ilikuwa ni kiki ya tangazo la kam...
Msanii Diamond amedai kuwa hapendi kushindana na watu wa nchi hii kwani hata akitoa intro ya wimbo ina-hit kuliko nyimbo za wasanii wengine.Hayo yamekuja baada ya into ya Diam...
Mwanamuziki Diamondplatnumz akimkabidhi msanii mpya wa WCB D Voice cheni mpya yenye mchanganyiko wa madini iliyotengenezwa kwa muundo wa nembo ya WCB huku akimtaka msanii kuto...
Wafungwa 4068 walioshindwa kulipa faini mbalimbali wameachiwa huru nchini #Nigeria katika mpango wa kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani nchini humo.
Waziri wa Mambo ya...
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #BurnaBoy ameshinda tuzo ya msanii bora wa Afrobeats kwenye Tuzo za muziki za Billboard mwaka 2023 zilizotolewa usiku wa Novemba 19.
B...
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #KanyeWest anadaiwa kutengana na mkewe #BiancaCensori baada ya familia ya Bianca kuomba mrembo huyo aachane na Kanye kutokana na ta...
Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa mchezaji #BrunoFernandes huenda akatimkia nchini #SaudiArabia mwisho wa msimu, staa huyo amekanusha na kusema anajisikia furaha kuendelea ku...
Mdhamini wa ‘klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) ametoa zawadi ya vifaa vya matibabu katika hospitali ya Ocean Road kama zawadi ya kusheherekea siku ya yake kumbuki...