‘Klabu’ ya #ChippaUnited ya nchini #AfrikaKusini imefungiwa kusajili wachezaji na Shirikisho la Soka FIFA mpaka itakapomlipa mchezaji raia wa Tanzania #AbdiBanda.
...
Rais wa ‘klabu’ ya Simba Mohammed Dewji amewataka mashabiki wa ‘klabu’ hiyo kuwa na imani na viongozi waliochaguliwa.
Mo amewaomba Wanasimba kutulia, k...
Msanii wa muziki nchini #Rayvanny ametangaza ujio wa Project yake mpya kabla ya mwaka kuisha, aliyoipa jina la ‘FIVE FOR YOU (5.4.U)’.
Project hiyo mpya Vanny Boy ...
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Erica L. Carrington amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutembea kama miss katika mazishi ya mbunifu mwenzake Vernest Moore wa...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #AlNassrFC ya #SaudiArabia imefanya mazungumzo na nyota wa #Ureno, #CristianoRonaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia ...
‘Rapa’ na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Marekani, Rick Ross ametangaza kutoa nafasi ya kazi katika ndege yake binafsi kwenye upande wa muhudumu.
Rick ameyas...
Serikali ya Nepal imepiga marufuku matumizi ya mtandao wa kijamii wa TikTok kutokana na tuhuma za kuwa inavuruga maelewano ya kijamii huku zaidi ya kesi 1,600 za uhalifu wa mi...
Baada ya wasanii mbalimbali kujitokeza Baraza la Sanaa Taifa, (BASATA) kufuata muongozo wa maadili katika kazi ya Sanaa msanii Nay wa Mitego amefika katika baraza hilo na kuch...
Ikiwa imepita wiki moja tangu wasanii Mbosso, Billnass na Whozu kufungiwa kujihusisha na kazi za muziki, kutokana na video ya Whozu ‘Ameyatimba’ kuwa na maudhui ya...
Wasanii wanaotumia dawa za kulevya watakiwa kujirekebisha, kabla hatua juu yao hazijachukuliwa.
Hayo yamesemwa na Aretas Lymo ambaye ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupamba...
Waandaji wa tamasha la #Afronation tayari wameachia majina ya wasanii watakao tumbuiza katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Juni 26-28 mwaka 2024, mjini Portimao nchin...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewafungia kusajili wachezaji, ‘klabu’ ya Singida Fountain Gate inayoshiriki ‘ligi’ kuu ya NBC kwa kosa l...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani #Drake ametangaza ziara ya pamoja na J.Cole ambayo wameipa jina la ‘It’s All A Blur Tour – Big As the What?’ ikiwa ...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, wapo tayari kumuuza kwa bei ya hasara mchezaji wao #Antony, ikiwa ni miezi 18 tangu mchezaji huyo ajiunge kwa ada ya uh...