Afisa habari wa ‘Klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ameeleza kuwa Tuzo ya mashabiki bora wa #AFL haitakaa kwenye ofisi za ‘Klabu’ hiyo bali itakuwa ikitembea...
‘Rapa’ kutoka #Marekani, #Drake na J. Cole wameiga pozi la picha ya wachezaji maarufu duniani #LionelMessi na #CristianoRonaldo iliyo waonesha wakicheza chess.
#Dr...
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #TravisScott ameweka wazi kuwa anataka kurudi shule.
Kufuatia mahojiano yake na #GQ, #Travis ameeleza kuwa alitumia njia za mkato ku...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini #IreneUwoya amevunja ukimya na kueleza kuwa jana ilikuwa ni siku ngumu sana katika maisha yake huku aki-posti picha ya marehemu mumewe mchezaji...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini #Marekani Arnold Schwarzenegger anatarajia kufikishwa mahakamani baada ya kusababisha ajali ya gari iliyotokea #LosAngeles Januari mwaka jana.
...
Ikiwa ni siku moja tangu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo kuwaonya wasanii wanaotumia na kuhamasisha matumi...
Aliye kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #RichardArnold amejiuzulu baada ya miaka 16 ya utumishi wake ‘klabuni’ hapo.
Inadaiwa k...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka nchini #DiamondPlatnumz ameweka wazi kuwa koti alilolivaa katika wimbo wake ‘Tetema’ ndilo hilo hilo alilolivaa kwenye wimbo wa K...
Ikiwa ni wiki chache tangu mkali wa Afrobeat Burna Boy kutaka kuwalipa pesa waandishi wa blog nchini Nigeria ili waache kuandika habari zake, hatimaye mwanamuziki huyo amedai ...
Wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikielekeza bondia Hassan Mwakinyo kupelekewa wito wa kufika mahakamani kupitia gazeti la Mwananchi kufuatia kesi ya madai inayomkabili, ...
Mtengenezaji mawigi kutoka Lagos nchini Nigeria, Helen Williams amevunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutengeneza 'wigi' refu zaidi duniani kwa kutumia mikono.
Kwa mijibu w...