23
Jaymelody alia maisha magumu
Mwanamuziki wa bongo fleva Jaymelody licha ya kupata pesa lakini ameweka wazi kuwa kwa upande wake maisha ni magumu na mabaya.Kupitia live yake ya siku ya jana kwenye ukurasa ...
23
Ronaldinho Kuuwasha moto Rwanda
Nguli wa soka kutoka Brazil Ronaldinho Gaúcho anatarajiwa kuuwasha moto na washiriki wengine 150 katika michuano ya Veteran Clubs World Championship.Ronaldinho ame-shar...
23
Hawa ndio wasanii walionyakuwa tuzo nyingi 2023
HAWA NDIYO WASANII WALIONYAKUA TUZO NYINGI MWAKA 2023Mwaka 2023, wapo baadhi ya wasanii ambao wanatamani mwaka huu uishe ili wajaribu tena mwakani lakini wapo waliobahatika ku...
23
Mabilionea walioongeza utajiri wao mwaka 2023
Ikiwa mwaka 2023 unaeleke kuisha umekuwa wa neema kwa baadhi ya mabilionea ulimwenguni, ambapo utajiri wao umeongezeka kwa kiasi kikubwa.Wengi wao ni wale wanaojihusisha na ma...
23
Wanaolala zaidi weekend hujiepusha na ugonjwa wa moyo
Utafiti wa hivi majuzi uliochapishwa katika jarida la Afya unaeleza kuwa kulala zaidi siku za weekend kunaweza kuboresha afya ya moyo na mishipa, hasa kwa wale wanaolala chini...
23
Cardi B, Offset wafikishwa mahakamani kisa kodi
'Rapa’ kutoka nchini Marekani Offset na mkewe Cardi B wafikishwa mahakamani baada ya kushindwa kulipa kodi katika nyumba waliyokuwa wakiishi mwaka 2022.Kwa mujibu wa Tmz...
23
Suarez kukipiga timu moja na Messi
Mshambuliaji wa zamani wa ‘klabu’ ya Liverpool na Barcelona Luis Suarez amekamilisha usajili wake na ‘timu’ Inter Miami kutoka nchini Marekani.Suarez a...
23
Vibe la Chris Brown na Davido jukwaani
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown ameibua shangwe kwa mashabiki baada ya kumpandisha jukwaani mkali wa Afrobeat Davido na ku-perfom ngoma yao ya ‘Sensationa...
22
Yanga yamfukuzisha kazi kocha wa Medeama
Baada ya kupokea kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliochezwa Desemba 20, Medeama ya Ghana imemfuta kazi koch...
22
Kinachofanyika kabla, baada ya upasuaji wa maumbile
Miongoni mwa habari zilizotikisa mwaka huu ni kupatikana kwa huduma ya kuongeza matiti, makalio, kupunguza tumbo au nyama kwenye mikono na sehemu nyingine za mwili hapa nchini...
22
Zijue sababu tairi kuwa na vinyweleo, rangi nyeusi
Ukweli ni kwamba si jambo la kawaida kukutana na gari, pikipiki au baiskeli yenye tairi la rangi tofauti na nyeusi, na hata kama kukiwa na rangi tofauti na hiyo basi itawekwa ...
22
Mashabiki wakosoa wimbo wa Wizkid
Mashabiki wa muziki kupitia mtandao wa X wameikosoa ngoma mpya ya mwanamuziki Wizkid iitwayo ‘Energy’ huku wakidai huenda msanii huyo alikuwa akirekodi wakati amel...
22
Hivi ndivyo Tiwa Savage alivyochagua kumaliza mwaka
Kama ilivyo desturi kwa baadhi ya wasanii kujipongeza kwa kujinunulia zawadi mbalimbali mwisho wa mwaka mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage amechagua kuumaliza mwaka...
22
Romy Jons afichua mambo yanayowatesa vijana
Muigizaji na Dj Romy Jons ameeleza kuwa watu wengi hasa vijana wanasumbuliwa na mawazo yaliyopitiliza hofu, na wasiwasi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Romy amewataka watu k...

Latest Post