Kama hujawahi kufikiria kuwa kuna mmea wenye muonekano wa midomo ya binadamu, fahamu kuwa mmea huo upo na unafahamika kwa jina la Hooker na kisayansi unaitwa Psychotria elata....
Wanandoa kutoka nchini Marekani wajulikanao kama John Hennessee, na mkewe Melody Hennessee wanadaiwa kuuza mali zao zote kwa ajili ya kwenda kuishi kwenye meli.
Kwa mujibu wa ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Kendricklamar ameingia kwenye orodha ya ‘mastaa’ waaminifu zaidi kwenye mahusiano baada ya kuwa na mpenzi mmoja tu.
Kend...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na ‘Rapa’ #CardiB kurudiana na aliyekuwa mumewe #Offset, hatimaye Cardi amekanusha uvumi huo.
#Cardi a...
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Mbongeni Ngema, ambaye ndiye muandishi wa wimbo wa ‘Sarafina’ amefariki katika ajali ya gari Jumatano jioni akiwa na umri w...
Mkali wa hip-hop kutoka nchini Marekani Rick Ross ameendela kufanya 'tizi' kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro mwaka 2024.
Rick amekuwa akifanya mazoezi ya kupungua mwili n...
Kama ilivyo kawaida kwa watu maarufu, mwisho wa mwaka kuachia list ya ngoma, vitabu na filamu zilizowakosha kwa mwaka huo, aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama ameachia mke...
Aliyekuwa mfanyabiashara na muanzilishi wa kampuni ya utengenezaji wa bunduki mwenye umri wa miaka 94 kutoka nchini #Austria, Gaston Glock amefariki dunia jana Jumatano, Disem...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Canada aitwaye Sonja mwenye umri wa miaka 45 amesema kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mti huo pichani na huwa anapata hisia za kimapenzi...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil mwenye umri wa miaka 34 ambaye hajafahamika jina amejisalimisha kwa polisi Disemba 22 na kukiri kukata sehemu za siri za mumewe na kuzitupa...
Leo katika Fashion tumekusogezea baadhi ya wasanii waliotokelezea katika upande wa mavazi na wale ambao waliwashangaza watu kwa mitindo ya mavazi yaani walitoa booko hah...
Kama ilivyo kawaida yetu @Mwananchiscoop hatulazi damu, wiki hii katika biashara tunakusogezea mada ambayo haina mambo mengi kabisa kuhusiana na vyakula simple unavyotakiwa ku...
Kama tunavyojua ni mwisho wa mwaka na kuna sikukuu kadhaa hapo mbele, ambapo watu wengi hujumuika pamoja kula, kunywa na kuvaa nguo mpya, kama ilivyo ada MwananchiScoop tumeam...
Jarida la Forbes limetoa orodha ya mabilionea 2,640 duniani kwa mwaka 2023 ambao utajiri wao unawakilisha takribani dola 12.5 trilioni.
Katika orodha hiyo Marekani imeongoza k...