Najua wiki hii siyo ya kuongelea kazi lakini sina budi kuwajuza jambo hili dogo kabisa ambalo halitawachosha kabisa, leo katika kazi tutazungumzia suala la malengo...
Tetemeko la ardhi nchini Japani limesababisha vifo vya watu taribani 48 na kufanya uharibifu katika sehehemu mbalimbali nchini humo.
Inaelezwa kuwa tetemeko hilo lilianza siku...
Mambo vipi, najua mko poa watu wangu wa Fashion kama kawaida tunakutana tena hapahapa katika magazine yetu ya Mwananchi Scoop kujuzana yanayojiri kwenye fashion.
Leo tumekusog...
Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameeleza kuwa kwa sasa hayupo tayari kuolewa na mwanaume yeyote yule.
Rushaynah ameyaeleza hayo baada ya shabiki kumtakia kheri kwenye ...
Kumekuwa na wimbi la kufufuka kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono walizowahi kufanyiwa baadhi ya wanawake na mastaa wakubwa duniani, kama zilivyoibuka tuhuma kwa P Diddy, R K...
Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila awatolea povu wanaume wanaooa wake wengi kwa kigezo cha kukimbilia dini.
Makabila kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share ujum...
Mwanamume mmoja aliyefahamika kwa jina la William Hickman mwenye umri wa miaka 55 anadaiwa kufariki baada ya kula uyoga wenye sumu uliokuwa umeota nyuma ya nyumba yake katika ...
Chama cha Soka cha Argentina (AFA) kimepanga kustaafisha 'jezi' namba 10 ya Lionel Messi ambayo awali ilikuwa ikivaliwa na Diego Maradona.
Mipango ya kuistaafisha 'jezi' hiyo ...
Kutokana na taarifa zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na hali ya kiafya ya msanii #MimiMars, baada ya kudaiwa kupata ajali, Vanessa Mdee ambaye ni dada yake a...
Kwenye mchezo kati ya ‘klabu’ ya #ManchesterCity na ‘klabu’ ya #Sheffield jana Jumamosi, panya mmoja aliingia uwanjani (eneo la kuchezea) na kusimamish...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, nchini #Marioo ametoa onyo kwa ‘mastaa’ wakiume wanaomsumbua mpenzi wake #PaulaKajala katika mitandao ya kijamii hususani #Instagram.
M...