Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila amedondosha list ya wasanii watano ambao hawana matatizo na mtu yeyote.
Makabila kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share picha...
Dysgraphia ni ugonjwa wa neva za binadamu kupata shida kugeuza mawazo yake kuwa katika maumbo mazuri ya kiuandishi ambayo wengi huita mwandiko mbaya. Wataalamu wanatafsiri hal...
Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2023, wapo baadhi ya wasanii ambao wanatamani mwaka huu uishe ili wajaribu tena mwakani lakini wapo waliobahatika kuandika historia kwen...
Mhandisi wa programu wa #Tesla kutoka nchini Marekani mbaye jina lake halijawekwa wazi amepata majeraha mkononi na mgongoni baada ya kushambuliwa na ‘roboti’ kweny...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Alnassr #CristianoRonaldo anaongoza kuwa na mabao mengi kwa mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 38
Inaelezwa kuwa nyota huyo wa soka amefung...
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia Shakira ajengewa sanamu katika mji wa Barranquilla ambako ndiko aliyozaliwa.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Shakira ame-share picha na vide...
Ukiangalia kwa jicho la kawaida na kufikiria kwa haraka unaweza kudhani ni miyeyusho ya mashabiki kutaka kupita na upepo wa mastaa kwa kuwabambikizia kesi za unyanyasaji...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu #Mohbad aliyefariki Septe...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited kwa sasa ipo kwenye hatua nzuri ya kuwasainisha mikataba mipya ‘mastaa’ wao #VictorLindelof na Aaron Wan-Bis...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ametoka hadharani na kuiomba radhi jamii ya Wayahudi kufuatia na maneno na vitendo vyake vilivyozua chuki kwa jamii hiyo....
Wana sayansi kutoka nchini Marekani, wamethibitisha kuwa mamba ni mmoja kati ya wanyama ambao wana uwezo wa kupata ujauzito na kuzaa bila ya mamba dume.
Kwa mujibu wa tovuti m...