10
Enjoy ya Jux yamkosha Lupita
Ngoma ya Jux aliyomshirikisha Diamond Platnumz yaingia kwenye listi ya muigizaji kutoka nchini Kenya Lupita Nyong’o ukiwa ni wimbo namba saba kati ya kumi alizo ziorodhe...
10
Momoa na mkewe wamalizana mazima
Baada ya mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani #JasonMomoa, #LisaBonet kuwasilisha ombi la talaka katika mahakama ya California nchini humo siku ya jana hatimaye wawili hao ...
10
Unafahamu nini kuhusu akili bandia (AI)
Inawezekana hivi karibuni ukawa umesikia sana kuhusu kitu kinachoitwa AI kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye ofisi, mitaani na hata kwenye mitandao ya kijamii. Swali kubwa...
10
Kilichofanya Tiwa na Davido kufuta urafiki chafichuka
Hatimaye wapenzi wa muziki wamepata majibu ya kilichokuwa kikiendelea kati ya wanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage na Davido baada ya wawili hawa kufuta urafiki kwenye...
09
Utafiti: Kumchunga sana mtoto kunampunguzia muda wa kuishi
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Shirikisho cha São Carlos na Chuo Kikuu cha London, kwa watu 1,000 waliozaliwa katika miaka ya 1950 na 1960, umegungua kuwa tabia y...
09
Show yafanya Usher aache pombe
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #UsherRaymond ameamua kuacha matumizi ya Pombe na vinywaji vyenye sukari kwa ajili ya kujiandaa na onesho la ‘Super Bowl Halftime&rsqu...
09
Jinsi ya kufungua akaunti ya Whatsapp iliyofungiwa
Kama tunavyojua kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na baadhi wa watu kulalamikia akaunti zao za WhatsApp kufungiwa mara kwa mara bila ya sababu yoyote sasa @Mwananchiscoop...
09
Mfahamu mwanamke anayepiga miluzi kwa kutumia pua
Lulu Lotus mzaliwa wa Mississauga nchini Canada ambaye anashikiria rekodi ya kuwa binadamu anayeweza kutumia pua kupiga miluzi inaoendana na sauti za nyimbo mbalimbali, anaend...
09
Mkongwe wa soka afariki dunia
Mkongwe wa soka nchini Ujerumani Franz Beckenbauer mwenye umri wa miaka 78 anayetambulika kama moja ya wachezaji bora kuwahi kutokea nchini humo, amefariki dunia. Franz aliwah...
09
Mtangazaji afichua kusumbuliwa na cancer akiwa live
Mtangazaji wa CNN aitwaye #SaraSidner ameweka wazi kuwa anasumbuliwa na saratani ya matiti wakati akiwa live kwenye kipindi cha asubuhi. #Sara amefichua ugonjwa huo kwa lengo ...
09
Baada ya miaka miwili mke wa Momoa adai talaka
Mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani #JasonMomoa, #LisaBonet ameomba talaka baada ya miaka miwili ya kutangaza kuachana.  Katika miaka miwili hiyo tangu watengane bila...
08
Kauli ya Wakazi yamtoa Coy mzungu mafichoni
Mchekeshaji Coy Mzungu ameonesha kukerwa na kauli ya mwanamuziki wa Hip-hop Wakazi iliyodai kuwa wachekeshaji wa Bongo hawajui kuchekesha. Kutokana na kauli hiyo Coy amejibu k...
08
The Weekend na ujio wa albamu mpya
Mwanamuziki kutoka nchini #Canada #TheWeeknd atangaza kutoa albumu yake mpya hivi karibuni ingawa bado hajaweka wazi jina la albumu hiyo.    The Weeknd amethibi...
08
Wafahamu Mbwa wasiobweka
Duniani kuna aina nyingi za mbwa, lakini licha ya kuwa na aina hizo wanyama hawa huzoeleka kwa kuwa na mtindo wa kufanana kwenye kubweka. Mfanano huo wa sauti za kubweka unaji...

Latest Post