Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #JustinBieber amefanya onesho lake la kwanza baada ya miaka miwili kuwa kimya bila kuoneka kwenye majukwaa.
Justin alipanda kujwaani usikuwa...
Baada ya ‘timu’ yake ya Taifa ya #Senegal kuondolewa katika michuano ya #Afcon mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr Sadio Mane amerudi na sasa yupo mapu...
Baada ya kupooza na kuambiwa hatoweza kutembea tena na madaktari mwanaridha Tim Marovt, aliwashangaza wengi baada ya kurudi tena kukimbia kwenye marathoni kwa kilometa 10 huku...
Party iliyokuwa ikifanyika siku moja kabla ya Tuzo za #Grammy ambayo ilikuwa ikiongozwa na #Jay-Z na Roc Nation kwa lengo la kuwakutanisha ma-staa mbalimbali haitofanyika mwak...
Tukiwa tunahesabu masaa kuelekea kushuhudia ugawaji wa Tuzo maarufu za Grammy 66, na huu ndio muonekano wa ukumbi itakapo fanyika shughuli hiyo.Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Poland aitwaye Katarzyna Jakubowska (48) ameweka rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kukaa kwenye sanduku la barafu kwa mu...
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...
Baada ya kampuni ya #Apple kuzindua miwani ambayo unaweza kutumia kwa matumizi mbalimbali ikiwemo ‘Kompyuta’ kuangalia movie, kuingia katika mitandao ya kijamii na...
Mbwa mmoja aliyetambulika kwa jina la #TucsonPrime, ambaye hakuwa na makazi maalumu amepata ‘dili’ la kuwa mfanyakazi katika kampuni ya kuuza magari ya #Hyundai il...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Carl Weathers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake siku ya juzi Februari 1 wakiel...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #RickRoss ametangaza kufanya ‘kolabo’ na wasanii wakubwa Africa akiwemo Diamond, Yemi, Stonebwoy na wengineo.Kupitia Inst...
Idadi kubwa ya wanaume walikuwa ‘single’ (waseja) nchini Marekani wanadaiwa kupitia kipindi kigumu cha 'kutokuwa na urafiki', ambapo takribani asilimia 20 ya wanau...