13
Fanya haya kuzuia wizi kazini
Na Aisha Lungato Katika kila sehemu ambayo inamzunguko wa watu wengi lazima kutakuwa na tabia zinazofaa na zisizofaa, na kama tunavyojua sehemu kama kazini, chuo, shule. Kunak...
13
Usher aweka rekodi super bowl show
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Usher ameka rekodi kupita Show yake alio ifanya siku ya Jumapili katika Fainali za Super Bowl LVIII ndio show iliyotazamwa zaidi Kwenye hi...
12
Jinsi ya kukuza kope halisi
Na Aisha Charles Mambo vipi watu wangu wa nguvu kwa mara nyingine tunakutana tena katika Fashion kupashana habari za urembo na style mbalimbali zinazokiki mjini katika fashion...
12
Bright muziki kwake kama kamari, Amkumbuka Ruge
Na Aisha Charles Miaka sita iliyopita alivuma sana na kibao cha ‘Umebalika’ alichofanya na Nandy ambacho kilikuwa na ujumbe mkubwa katika jamii na ndiyo wimbo ulio...
12
Umuhimu wa logo kwenye biashara yako
  Na Aisha Lungato Mamboz! Siyo kila siku tufundishane kupika jamani lazima kubadilika na kuelekezana mambo tofauti ambayo pia yanaweza kukuza biashara yako, leo niko na ...
12
Mfahamu binadamu mwenye ngozi inayovutika zaidi
Gary Turner ambaye ni raia wa Uingereza anashikilia rekodi ya dunia ya Guinness kuwa binadamu mwenye ngozi inayovutika zaidi duniani. Turner mwenye umri wa miaka 56 aliweka re...
12
Master: Mnaopiga picha msibani mnajiona mko sawa
Mtayarishaji wa muziki nchini #MasterJ ametoa povu kwa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kuchukua video na kupiga picha kwa ajili ya ku-post katika mitan...
12
Mwanariadha Kenya afariki dunia
Mwanariadha wa mbio ndefu kutoka nchini Kenya, Kelvin Kiptum na ‘kocha’ wake raia wa Rwanda, Garvais Hakizimana wamefariki dunia kwa ajali ya gari, jana Jumapili k...
12
Teni amwaga machozi kukosa ushindi AFCON
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #Teni amwaga machozi baada ya ‘timu’ yake ya taifa #Nigeria kukosa ushindi katika mashindano ya fainali ya AFCON 2023 kwa kufung...
12
Ahmedy: Mlitaka Mayele abaki kwenye timu yenu ili afe masikini
Msemaji wa Klabu ya Simba Ahmed Ally ameingilia kati tabia ya baadhi ya mashabiki kumshambulia kwa maneno aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo Fiston Mayele. Hayo yote ni baada ya ...
12
Konde faida zaidi ya hasara
Konde Boy anaonekana ana ‘bato’ na Diamond inamsaidia Konde Boy kuliko Diamondi. Kumbuka DMX na Jah Rule ‘bato’ lao lilimsaidia zaidi Jah Rule na kumtu...
12
Wema, Zari faida kwa Mondi
Pamoja na yote Wema aliondoka kwenye mbavu za Mondi, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa. Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaan...
11
Dorah atoa povu wanaosema hawezi kuwa na mahusiano
Muigizaji wa #BongoMovie, ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘Jua Kali’  #Dorah ameeleza kuwa anachukizwa na watu wanaosema kuwa hawezi kuwa na Mah...
11
Harmonize asitisha show, Amuomboleza Lowassa
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize amesitisha show kwaajili ya kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa. Kupitia #Instastor yake...

Latest Post