Baada ya msanii Harmonize na mpenzi wake Poshy Queen kuonekana wakipata dinner pamoja usiku wa kuamkia leo katika siku ya Wapendanao, wawili hao wamezua sintofahamu kupitia ku...
Kionjo (Trailer) cha ujio wa filamu mpya ya ‘‘Deadpool and Wolverine 3’ ambayo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza Jumapili wakati wa Super Bowl, imevunja rekodi ...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Yanga #ClementMzize ameonesha kuwa siyo kupiga chenga na kufunga tuu bali hadi kuimba yuko vizuri, hii inakuja baada ya kuonekana akiimba w...
Ikiwa leo ni sikukuu ya Wapendanao, aliyekuwa msemaji kwa ‘klabu’ ya yanga Haji Manara, ameeendeleza tambo zake katika siku hii ya leo na muda mchache uliopita ame...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, nchini #Whozu ametoa onyo kwa wanao mtongoza mpenzi wake #WemaSepetu kupitia akaunti yake ya Instagram na Snapchat.
Whozu ameyasema hayo kupitia ma...
Kutokana na utafiti uliofanywa na Taasisi inayojihusisha na masuala ya fedha Bankrate, iliyopo nchini Marekani imebaini kuwa asilimia 42 ya wanandoa huwaficha wenzi wao mali w...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Davido, alikuwa mmoja wa wasanii ambao walihudhuria katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Uholanzi...
Baada ya ‘timu’ ya Taifa ya #Nigeria, maarufu kama #SuperEagles kuibuka mshindi wa pili katika michuano ya AFCON 2023, wametunukiwa medali za heshima na Rais wao B...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #UsherRaymond ameripotiwa kuwa ndiye msanii wa kwanza kulipwa na NFL ambapo alilipwa dola 671 sawa na tsh 1.7 milioni baada ya kutumbuiza kw...
Baada ya kuweka Grill kwenye meno yake, mashabiki wameona tofauti katika lips za ‘rapa’ Kanye West huku wakihoji nini kimetokea mpaka muonekano wa mdomo wa mwanamu...
#DianaArmstrong ambaye anashikilia rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi ameeleza jinsi gani anajisafisha wakati a...
Baada ya mwanamuziki #Usher kukiwasha katika fainali za ‘Super Bowl’ zilizofanyika katika uwanja wa Allegiant, Nevada na sasa imeripotiwa kuwa mwaka 2025 fainali h...
Na Michael Onesha
Niaje niaje watu wangu wa Mwananchiscoop, naona harakati za chuo kama zimetaradadi, kama tunavyojua kipindi hichi ni kipindi ambacho baadhi ya vyuo vinafanya...