Mbunge wa Kongwa Job Ndugai amewataka wananchi kuacha kualalamika na kujiletea maendeleo.
Amesema jukumu la kwanza la Serikali ni kulinda Usalama wa Wananchi hivyo ni wajibu w...
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), Salum Awadh, amesema kupanda kwa chakula kunatokana na changamoto mbalimbali ikiwemo upatikanaji h...
Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda kimepiga marufuku wanaohudhuria sherehe za kuhitimu kubeba simu, kamera za video, kwa mujibu wa taarifa.
Chuo hicho kitafanya sherehe leo...
Mwanamuziki maarufu kutoka Barbados Rihanna inasemekana kuwa anaujauzito mwingine na hii imejulikana katika show aliotumbuiza ya Super Bowl 2023 iliofanyika katika uwanja wa A...
Ebwana mambo vipi? I hope uko good kabisa lakini kama kwa upande wako hali si shwari niko hapa kukutia moyo zaidi kwani siku zote hakuna mtihani usiokua na majibu, kikubwa jip...
Hellow! Wafanya biashara wenzangu, its another Friday kwenye chimbo letu la biashara tukitoa nondo zinazohusiana na wajasiliamali wazee wenzangu wa kuchakarika.
Ba...
Matatizo ya meno ni matatizo au magonjwa yanayohusiana na meno, karibia matatizo yote ya meno husababisha na bakteria au wadudu wengine kuwepo mdomoni, hii hufanya mtu kuwa na...
Hellow! Hellow! Natumai mko pouwa eeeh watu wangu wa nguvu, naona bado siku kadhaa tuu tufike kwenye kwenye ile siku ambayo wenye wapenzi ndo wanaitamani lakini kwa sie masing...
Hellow its Friday mtu wangu karibu sana kwenye kipengele cha fashion kama kawaida yetu huu ndio ukurasa pekee unaoweza kukusaidia wewe mpenda mitindo kuhakikisha muonekano wak...
Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imesema Vyuo nchini humo vitafungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufan...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemshutumu Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi kuwa anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhus...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto UNICEF, limefahamisha kuwa ndoa za utotoni na unyanyasaji wa kijinsia umeongezeka nchini Ethiopia.
Madaktari na wafanyakazi w...
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar...