Mwanamuziki maarufu nchini Morocco Saad Lamjarred, anatuhumiwa na kesi ya ubakaji na unyanyasaji, ambayo imeanza kusikilizwa katika mji mkuu wa Ufaransa.
Saad anayeimba muziki...
Wanajeshi wasiopungua 51 wa Burkina Faso wameuwawa katika shambulizi la kustukiza lililotokea eneo la kaskazini mwa nchi hiyo linalofahamika kwa hujuma kubwa za makundi ya iti...
Taarifa kutoka mkoani Morogoro ambapo uamuzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigoman...
Matetemeko ya ukubwa wa 6.4 na 5.8 yalipiga kusini mashariki karibu na mpaka na Syria, ambapo matetemeko hayo yaliharibu nchi zote mbili mnamo 6 Februari.
Kwa mara nyingine te...
Rais wa Marekani, Joe Biden amewasili Kyiv ikiwa ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia karibu mwaka mmoja uliopita. Aidha Safari hiyo ya siri ya Biden k...
Mtoto wa Rais wa zamani Nchini Zimbabwe Robert Mugabe anashikiliwa na polisi katika mji mkuu wa Harare, kwa madai ya kuhusika katika uharibifu wa magari wakati wa tafrija mwis...
Tajiri Bill Gates anaripotiwa kutoka kimapenzi na Paula Hurd ambaye ni mjane wa marehemu Mark Hurd, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Oracle.
Rafiki wa karibu wa aliuambia mtandao w...
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, ametoa agizo hilo kwa Kamishna wa Elimu alipokutana na Wazazi na walezi wa Wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Mtihani wa Shule ya Sekondar...
Eiwaaaah !!!its Friday day bwana kama kawaida karibu kwenye ukurasa wa fashion, sehemu pekee ambayo inakuongoza vyema kabisa kuhusiana na masuala muonekano wako.
Nikuweke baya...
Udugu ulitolewa valentine au nikuache kidogo sio shida zako, hahahha! Maana wanachuo ndo mambo yenu haya, lakini mwaka huu mmetuangusha sana hampendwi nini (jokes).
Sasa bwana...
Oooooooooooh! Valentine imeshapita sasa haya turudi katika biashara jamani, kama nawaona wauza maua na cake walivyozikusanya pesa week hii, sio powa yaaani mwendo ndo ule ule ...
Waziri Mkuu wa Gauteng Panyaza Lesufi nchini Afrika Kusini alimuomba Rais Cyril Ramaphosa ruhusa ya kumpa rapa aliyeuawa Kiernan Forbes, maarufu kama AKA, mazishi ya kitaifa
V...