Boss wa Makampuni ya SpaceX, Tesla na Twitter, Elon Musk amerudi tena kuwa Tajiri namba moja Duniani baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo mwishoni mwa mwaka jana baada ya ku...
Rais wa zamani nchini Nigeria Olusegun Obasanjo ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko yanayoendelea kuhusu kutokuwepo uwazi kwenye Matokeo ya Kura zilizopigwa ikiwa ni pa...
Vyama vya Upinzani vya PDP na Labor Party Nchini Nigeria vimesusia mchakato wa Utangazaji Matokeo kwa madai kuwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imeonesha kuwepo kwa uchakachuaji...
Chama kikuu cha upinzani cha Peoples Democratic Party (PDP) na Labour Party vimedai hakuna uwazi katika mfumo mpya wa kielektroniki wa wapiga kura.
Vyama vya upinzani vimetoka...
Mwanasoka nguli kutoka Argentina na klabu ya PSG Lionel Messi ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa mwaka 2022 FIFA, huku akiweka rekodi ya kuwa Mchezaji pekee aliyewa...
Peter Obi mgombea wa chama cha Labour amemshinda Bola Tinubu wa chama tawala katika eneo alilotoka, matokeo yaliyotangazwa na maafisa wa uchaguzi wa majimbo.
Mgombea urais wa ...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa wafugaji wa kaskazini hawataruhusiwa tena kubeba silaha wakati wanachunga ng'ombe zao, huku kukiwa na operesheni ya kuwapokonya silaha...
Taarifa kutoka uingereza ambapo kupitia Sheria mpya iliyoanza kutumika Nchini humo na Wales ambako awali Watu walikuwa wakioana wakiwa na Miaka 16 au 17 ikiwa watapata kibali ...
Baadhi ya miili kutoka makaburi ya kingo za mto Umbeluze karibu na mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, imesombwa na mafuriko na kuenea katika makazi ya watu na mashamba.
Vituo vya t...
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame, mkoani Kilimanjaro, Padri Thomas Chuwa, amedai kuwa kapu lililokuwa na sadaka za misa limeibiwa katika mazingira ya kutatanisha.A...
Taarifa kutoka Italia ambapo Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza Maisha katika Ajali hiyo huku Watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo huku ikiaminika boti ilibeba ka...
Hellow its Friday tena guys this is fashion kama kawaida yetu bwana ndiyo sehemu pekee ya kujidai na kupambania urembo bila kusahau mionekano yetu.
Ebwana wiki hii tutaangazia...
Ingawa baadhi ya visa vya unyanyasaji mahali pa kazi ni wazi vinavuka mipaka kati ya taaluma na kibinafsi, unyanyasaji mwingi wa mahali pa kazi ni wa hila zaidi, na katika vis...
Wajasiliamali na wafanyabiashara wote nawasalimu kwa jina la Jamuhuri la Muungano wa Tanazania.., ni matumini yangu biashara zinaenda kama kawaida na kila kitu kiko pouwa.
Sic...