21
Rais Nyusi afuta nyongeza ya mshahara wa 13 kwa wafanyakazi
Akihotubia Bunge, Rais wa Mozambique, Filipe Nyusi amesema anafuta nyongeza ya mshahara wa 13 kwa wafanyakazi, hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na ...
21
Rais Volodymyr Zelensky kufanya ziara nchini Marekani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa taarifa leo kuwa yuko safarini kuelekea nchini Marekani ambako atakutana kwa mazungumzo na Rais Joe Biden kwa lengo la kile alichosem...
21
Serikali ya Taliban yazuia wanawake kusoma vyuo vikuu
Serikali ya Taliban imewazuia wanawake kutokusoma elimu ya chuo kikuu. Msemaji wa Wizara ya Elimu ya Juu amesema uamuzi huo ulifanywa katika Kikao cha Baraza la Mawaziri ...
20
Trump adai anaundiwa mashtaka ili kumzuia asigombee urais 2024
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump adai anaundiwa mashtaka ili kumzuia asigombee urais 2024.Kauli iliyotolewa na Trump ya kutaka kugombea urais mwaka 2024, inafuatia uamuz...
20
R Kelly na mchumba wake wapata mtoto
Msanii maarufu nchini Marekani R Kelly na mchumba wake Joycelyn Savage wameripotiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja. Mtoto huyo wa kike waliempatia jina la Ava Lee Kell...
20
Wauguzi nchini Uingereza kuandamana kwa mara ya pili kudai malipo zaidi
Zaidi ya wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na huduma ya  afya ya Taifa (NHS) nchini England, Wales na Ireland Kaska...
20
Watu 17 nchini Libya wahukumiwa kifo kwa kujiunga na kundi la IS
Mahakama nchini Libya imewahukumu kifo watu 17 baada ya kuwakuta na hatia ya kujiunga na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu (IS) na kufanya uasi kwa kutumia jina hi...
21
Messi uwezekano kucheza kombe la dunia 2026
Huwenda mkali wa soka na mchezaji bora katika kombe la dunia 2022, Lionel Messi akacheza tena katika kombe la dunia mwaka 2026, tofauti na alivyoashiria mwanzoni kustaafu baad...
16
Bei ya Mahindi Kupaa
Taarifa rasmi kutoka kwa Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Exhahudi Kigahe amesema bei za vyakula kwa mwezi December mwaka huu zimeendelea kupanda kutokana na vit...
16
Busu lamponza mwanamke nchini Sudan
Mwanamke mwenye umri wa miaka (20) amehukumiwa kifungo cha Miezi 6 baada ya kukubali kosa. Awali alihukumiwa Kifo kwa kupigwa Mawe lakini baada ya Malalamiko ya Wanaharakati,...
16
Rais wa Marekani aahidi kufanya ziara barani Afrika
Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kufanya ziara barani Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara ambayo itakuwa ya kwanza katika wadhifa wake wa urais. Rais Biden atafanya ziara h...
16
Wauguzi wagoma nchini Uingereza
Maelfu ya wauguzi kwenye hospitali za nchini Uingereza wameanza mgomo mkubwa kudai nyongeza za mishahara. Manesi wanashiriki kwenye mgomo huo katika maeneo yote ya England, Wa...
16
Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru
Kutoka nchini Nigeria ambapo hukumu imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi k...
15
Peru yatangaza siku 30 za hali ya hatari
Serikali ya Peru imetangaza siku 30 za hali ya hatari nchi nzima. Katika tangazo hilo la jana, Waziri wa Ulinzi Alberto Otarola alisema haki ya kukusanyika, kutoingiliwa majum...

Latest Post