Alooooh! Haya ni marangi marangi kama msanii mwenyewe alivyoimba katika wimbo wake alioachia siku chache zilizopita. Huyu si mwingine, ni yule mwamba anayecheza vyema na sauti...
Wanangu niaje? Kama kawaida katika burudani bhana mkali wa melody, Rayvanny a.k.a Chui atisha kwenye tamasha la muziki huko Tabora kwa aina yake ya performance.
Chui ameonyesh...
Alooooh! It’s another Monday mwanangu sana na mambo ndo kwanza ya motooo. Basi bwana kupitia katika ukurasa wake wa kijamii, mwanadada Gigy Money ametoa povu zito akiwa ...
Mwanariadha bingwa wa mbio za nyika kutoka nchini Kenya Eliud Kipchoge, ameivunja rekodi yake mwenyewe ya dunia katika mbio za nyika za Berlin, Ujerumani.
Kipchoge mwenye umri...
Mmmmmmh! Waswahili wana kamsemo kao kanasema kuwa 'usiseme hatuna hela, sema mimi sina hela,' basi bwanamwanasiasa na mwimbaji mkongwe, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, amed...
Mwananchi scoop ndo sehemu pekee tunayokukusanyia na kukuletea habari zote zinazohusu afya, mahusiano, michongo ya biashara na burudani. Basi bhana baada ya wasanii mbalimbali...
Niaje wanangu wa vyuo mbalimbali, hii ni yenu sasa. Kama kawaida yetu katika segment ya UniCorner tumekusogezea mada ambayo kama kweli wewe una akili basi utaelewa lakini ukif...
Ooooooh! Kama kawaida yetu tunazidi kukusogeza gurudumu katika kukufanya wewe mfuatiliaji wetu upate kitu moyo unapenda. Sasa leo katika segment yetu ya afya tunakusogezea mad...
Kumekua na malalamiko baina ya wafanyakazi kwa wafanyakazi wenzao au boss na watu anaowasimamia kutokana na kukosa ule muunganiko ama ushirikiano katika masuala ya kikazi.
Nik...
Ebwana niaje my beautiful people, its another time bila kupoa katika jarida la Mwananchi Scoop kwenye segment ya burudani na kudondoshea list ya mastaa waliotamba kwenye mziki...
Hellow! Watu wangu wa nguvu kama kawaida yetu kwenye magazine yetu kuna segment mbalimbali ambazo zinakufanya uburudike na kuenjoy. Basi week hii katika kile kipengele chenu p...
Niaje watu wangu wa nguvu! It’s another Friday kwenye chimbo letu la biashara tukitoa nondo zinazohusiana na biashara ikiwa pamoja na faida na changamoto za biashara hiz...
Hifadhi ya Taifa Kitulo inapatikana Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania katika mikoa ya Mbeya na Njombe. Hifadhi hii ipo kati ya kilele cha Milima ya Kipengere, Poroto na Safu z...
Ebwanaa mambo vipi? Mambo yanazidi kuwa moto na bila kupoa na kusogezea habari mdau wangu wa nguvu uweze kuburudika.
Aloooh! Mtandao wa Instagram umetaradadi na comment za mas...