Wataalamu wa afya wanashauri watu kufanya mazoezi ili kuimarisha afya ya mwili lakini hii kwa vijana imekuwa tofauti wengi hutumia muda wao kushinda gym kwa kufanya mazoezi il...
Nyama ya matumbo au utumbo ni kipande cha nyama inayotoka katika tumbo la wanyama kama vile ng'ombe, nguruwe, kondoo na mbuzi.
Nyama hii inaweza kupatikana katika mikahawa bar...
Hellow! Another furahi day watu wangu wa nguvu, leo bwana katika afya tumewasogezea jambo ambalo kila mtu litamshangaza kidogo kwasababu wamezoea kuwa ni kiungo cha mboga tu, ...
Takriban watu 19 wamefariki na wengine mahututi baada ya kunywa pombe kwenye duka lililopo kando ya barabara katika mji wa kaskazini wa Morocco, Ksar el-Kebir.Mwanaume mmoja m...
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na chombo cha habari cha Citizen TV Kenya kimeeleza kwamba miili ya watu waliofariki dunia itatupwa hivi karibuni. Miili hiyo iko katika ...
Takribani watu 22 wameuwawa wakati helikopta mbili za jeshi la Uganda zilipoanguka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Taarifa hizo zimetolewa na msemaji wa jeshi ...
Niaje wanangu wa faida? Manake hapo kwanza nicheke, 'asiyefunzwa na mamae atafunzwa na ulimwengu,' sio maneno yangu hayo ni maneno ya waswahili na hao walimwengu sasa ni Watan...
Mambo mengi muda ni mchache, yaani ukisinzia kidogo tu unapitwa aisee! Wakati wasanii wengine wakidai talaka huku wengine wanazama kwenye dimbwi la malavidavi na baadhi ...
Eeeeeheee! Kumekucha pande hizi umakondeni bwana baada ya aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Konde boy jana kuonekana mahakamani kwenda kudai talaka na kugawana mali na Harmonize.
...
Aloooooh! Kwahiyo huu mwaka tutakula ubwabwa wa shughuli mpaka basi, naona watu wamejipanga haswaaa, basi bwana chawa kama chawa Baba Levo amewaaminisha watu kuwa atafanya kil...
Ebwana niaje mwanagu wa faida? Furaha ni kitu pouwa sana katika maisha ya mtu yoyote na ukiwa na furaha unaweza kufikiria vizuri. Basi bhana Mmakonde amefunguka kupitia Instas...
Duuuuuuh! Huyu bwana harusi wa jana bwana anaendelea kuzua balaa katika mitandao ya kijamii haswa kwa baadhi ya wasanii kutaka kufanya na kuwa na ujasiri kama aliokuwa nao &nb...
Aloooooh! Jana bwana kupitia mitandao ya kijamii kulidamshi baada ya yule msemaji wa mabingwa kuvuta jiko yaani kuongeza mke, kumekuwa na gumzo kwa upande wa wasanii mbalimbal...
Alooooh weee! Alooh tenaa! Nyie nyie mapenzi mubashara kwa mr and mrs Nenga. Basi bwana Billnass ameshare chats za mke wake ambapo zilikuwa zinaonesha mke wa Nenga, Nandy akim...