katika mlipuko wa homa ya nyani sasa imefikia 70,000 kote ulimwenguni, huku ikionya kuwa kupungua kwa maambukizi mapya haimaanishi kuwa watu wanapaswa kutochukua tahadh...
Mamlaka nchini Pakistan zimefahamisha kuwa watu 18 wa familia moja wakiwemo watoto 12 wamefariki baada ya basi waliyokuwa wakisafiria kuteketea kwa moto kutokana na hitilafu y...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu watu, katika juhudi za kupambana na kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola. Watu 19 wamekwisha kufa kutokana...
Uuuuwiiiiih! Nikiwaambia mapenzi yametaradadi kwa wasanii wetu wa bongo basi muwe mnanielewa, basi bwana kumekuwa na gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya msanii anayetam...
Mkuu wa Shirika la afya duniani WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa kliniki ya majaribio ya chanjo inayoweza kukabiliana na ugonjwa wa ebola inaweza kuanza kazi ndani...
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, Kanali Michael Ngayalina ametoa onyo kwa watendaji wa kata na viongozi wa Serikali katika wilaya hiyo kutobeba michepuko katika ...
Nyie nyie usiseme mapenzi machungu sema uliye nae hakupendi bwana, basi kupitia mitandao ya kijamii gumzo kubwa ni kuhusiana na mahusiano ya Wema na Whozu, wawili hao wanazidi...
Uganda na Mali zimekubaliana kushirikiana kwenye mafunzo ya majeshi, ukusanyaji wa taarifa za kijasusi, operesheni za anga na ardhini pamoja na mapambano dhidi ya waasi.
Kwa m...
Umoja wa Mataifa (UN) umetoa wito wa kuwepo kwa mabadiliko kutoka nchi zilizoendelea kuyapunguzia mzigo wa madeni yanaoongezeka kwa mataifa masikini zaidi.
Mkuu wa Shirik...
Picha ya video inayoonyesha watoto wawili wa shule ya msingi wakichinja kuku nchini Kenya imezua mijadala kuhusu mtaala mpya wa nchi hiyo unaozingatia zaidi ujuzi wa vitendo -...
Alooooh! Mapenzi yametaradadi huku upande wa pili kwa madame mwenyewe, Wema Sepetu, basi bwana kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa mpenzi wake ambae ni msanii wa ...