Watu 13 wakiwemo watoto 3 wamefariki baada ya ndege ya kivita ya Urusi kuanguka kwenye jumba la makazi katika mji wa kusini ya Yeysk, muda mfupi tu baada ya kupaa angani.
Watu...
Maporomoko ya ardhi kaskazini mwa Venezuela yamesababisha vifo vya takriban watu watatu, huku uharibifu mkubwa ukiripotiwa huko el Castano, wilaya ya Maracay, mji mkuu wa jimb...
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Club ya Real Madrid ya Hispania Karim Benzema ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya Mchezaji Bora wa Dunia.
Tuzo hizo ambazo zili...
Rais wa Kenya amemshutumu Mtangulizi wake,Uhuru Kenyatta kwa kusababisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama uliopelekea ahitaji muda kurekebisha, huku akianzisha m...
Vatican city Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amesema upo umuhimu mkubwa kwa sasa kuufanyia mabadiliko Umoja wa Mataifa na hasa baada ya janga la uviko-19 na vita nch...
Kutoka katika Instagram ya Afisa Habara wa klabu ya Yanga Ally Kamwe ameandika ujumbe mzito baada ya kupokea ujumbe kuwa binti yake mdogo amefariki akiwa nchini Addis Ab...
Haya haya, wale wanaotarajia kuingia chuoni hivi karibuni kuna ujumbe wenu konki hapa niko nao ambao utawasaidia. Kabla sijaenda chuo nilisikia stori za walimu wanaowataka wan...
Hello vipenzi! Leo katika afya tumewasogezea mada nzuri sana kwa dada zetu, ugonjwa huo ambao unawasumbua baadhi ya wasichana lakini wanaona aibu kuweka wazi unafahamika kwa j...
Ni siku nyingine tena karibu sana msomaji na mfuatiliaji wa magazine ya Mwananchi Scoop, kama ilivyo kawaida kwenye makala za kazi, ujuzi na maarifa ambapo hapa unapata fursa ...
Mambo vipi watu wa nguvu? Shukrani za dhati zikufikie mtu wa nguvu kwa support yako na kuendelea kufatilia story zetu kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii na jarida letu...
Mambo vipi? Unataka mkwanja wewe? Najua jibu “ndiyo!” kama kawaida mtu na michongo yangu, nakupa fumbo la mkwanja kazi kwako kufumbua kuzipata hizo pesa.
Basi bhan...
Oooooooh! Kama kawaida yetu ni Ijumaa nyingine watu wangu wanguvu, harafu ni kama weekend inakuja kwa kasi mana mambo mengi muda mchache, basi bwana week hii katika fashion tu...
Alright my traveling and adventure peeps. Ni wiki nyingine tena tunakutana hapa katika segment ya BATA BATANI. Basi bwana, wiki hii nipo na Kimondo cha Mbozi, Songwe.
Kimondo ...
Ikija katika maswala ya kuwavutia wanawake, kile kitu ambacho utamtamkia kitakusaidia pakubwa katika azma yako ya kumuwini. Hakuna ujanja wowote ambayo unatumika bali ni mane...