Habari kijana mwenzangu karibu kwenye Makala za kazi, ujuzi na maarifa bila shaka umekua mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zinazohusu masuala haya.
Wiki hii bwana kwenye ki...
Hellow! Watu wangu wa nguvu kama kawaida yetu yani sisi hatunaga mba mba mba, leo katika biashara tunakusogezea mada konki ambayo itaweza kukupa elimu ya kile unachotaka kukif...
Oooooh! Amkeni amkeni wanangu wa mavyuoni basi bwana kuna wale wavivu kuamka asubuhi kwenda kuwahi lecture huwa wengi wetu tunakimbilia kusoma katika mitandao, sasa tumekusoge...
Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Mwanamfalme Faisal bin Farhan amekiambia kituo cha televisheni cha Al-Arabia kuwa rais wa China Xi Jinping anatarajiwa kufanya ziara kat...
Mfanyabiashara bilionea wa Elon Musk anaripotiwa kuchukua udhibiti wa mtandao wa Twitter. Awali kampuni yenye umuliki wa mtandao huo ilikataa kiwango cha dola bilioni 44 kilic...
Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Ebola baada ya Wanafunzi 6 kukutwa na Maambukizi Jijini humo. Idadi hiyo inafanya ju...
Urusi inatarajia kupitisha muswada wa marufuku dhidi ya kueneza kile kinachoitwa "propaganda za wapenzi wa jinsia moja" kwa watu wote. Sheria itaruhusu taarifa yoyote kwenye ...
Papa Francis amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video ama picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "inadhoofisha moyo wa kipadre".
Papa, mwenye umri w...
Idadi ya watu waliokufa kutokana na Kimbunga Sitrang nchini Bangladesh imefikia 28 huku mamilioni ya wengine wakisalia bila umeme.
Idadi hii imeongezeka baada wafanyakazi wa u...
Ujerumani imefungua njia ya kuelekea kuhalalisha ununuzi na umiliki wa kiasi kidogo cha bangi kwa ajili ya starehe. Watu wataruhusiwa kununua kiasi kisichozidi "gramu 20 na 30...
Takriban wanafunzi 11 wamekufa na wengine sita wako katika hali mbaya baada ya moto kuzuka katika shule ya walemavu wa macho katikati mwa Uganda.
Polisi ya Uganda imesema moto...
Ooooooh! Waswahili wanamsemo wao bwana salimia watu pesa huishaa, basi bwana gumzo mitandaoni week hii ni kuhusiana na sakata kubwa la rapa Kanye west kufirisika baada ya mkat...