Taarifa kutoka Kagera ambapo Miili ya Watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air inatarajiwa kuagwa leo Novemba 7, 2022 kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkuu ...
Kupitia Barua Pepe zilizotumwa leo Novemba 3, 2022 kwa Wafanyakazi 7500 inaeleza nusu yao watajulishwa kuhusu mustakabali wa ajira zao, kama wataweza kuendelea na kufanya kazi...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anatazamiwa kukutana leo na viongozi wakuu wa dini ya Kiislamu, akiwa katika ziara nchini Bahrain inayoazimia kuboresha mjadal...
Marubani wa shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, wataanza mgomo kesho kutilia mkazo madai yao ya mazingira bora ya kazi, licha ya mahakama ya nchi hiyo kuamuru mgomo huo ...
Mark Lewis
Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Mtu hupata ms...
Alooooh!!! Karibu sana mdau na mfuatiliaji wa page ya fashion wiki hii bwana nakusogeza rasmi kwenye msimu wa graduation katika shule na vyuo mbalimbali hapa nhini.
Kama unavy...
Oooooooh! Niaje niaje wale wanangu wasiopenda kuajiriwa yaani kuna wale vijana msimamo wao kila siku ni kujiajiri tuu haijalishi iwe biashara au ujasiliamali wenyewe wanasema ...
Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na muda mwingi wa kujihusisha na shughuli za ujasiriamali. Kuna fursa mbalimbali za kibiashara ambazo wanafunzi wa vyuoni wanaweza kuanzisha...
Kupitia ripoti ya Januari-Oktoba 2022, matukio 11 ya ukatili kwa Wanahabari yalirekodiwa nchini Kwa Mujibu wa Ripoti ya Baraza la Habari Tanzania Matukio ya Ukatili kwa...
Beki huyo wa kati wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza Mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp. Hata...
Ooooooh! Ni ijumaa nyingine tena mwanangu sana halafu naona kama inataka kuja kwa kasi hivi maana mambo yanazidi kuwa mengi katika hii dunia kila kukicha linazuka jipya, kama ...
Oooooh! Haya haya kumekucha kumekuchwa wale vipenzi vya apple phone kuna ujumbe wenu hapa, basi bwana unaambiwa Simu mpya za iPhone 14 zimeanza kuuzwa rasmi nchini Tanzania le...