14
Ummy Mwalimu awatembelea majeruhi ajali ya basi la Arusha Express
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amewatembelea majeruhi wa ajali ya basi la Arusha Express lililogongana na lori, katika eneo la Mzakwe, Dodoma. Majeruhi hao wamelazw...
14
Biden kukutana na Xi Jinping huko Bali, Indonesia
Rais wa Marekani Joe Biden, leo anakutana na Xi Jinping wa China huko Bali, Indonesia kwa ajili ya kujadili mahusiano kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani...
14
Burna Boy ashinda tuzo ya msanii bora Africa
Msanii maarufu barani Afrika Burna Boy, ameshinda tuzo ya msanii bora kutoka Afrika. Hii ni katika tuzo zilizofanyika huko Uingereza zinazojulikana kama MTV EMA.Burna Boy amew...
14
Ronaldo: Tangu Ferguson aondoke maendeleo United sifuri
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo...
14
Kenya wabunge kupitia upya sheria zilizopitishwa na Kenyatta
Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge Hata hivyo Wabung...
14
Watahiniwa 566,840 kufanya mtihani wa kidato cha Nne leo
Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) unafanyika kuanzia leo tarehe 14 Novemba hadi 1 Disemba, 2022 katika jumla ya Shule za Sekondari 5,212 na Vituo vya W...
14
Sita wafariki kwenye shambulio la bomu Uturuki
Takriban watu sita wameuawa na wengine 81 kujeruhiwa katika mlipuko katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Istanbul, mamlaka ya Uturuki imesema. Mlipuko huo ulitokea m...
11
Bunge lasitisha muswada wa bima kwa wote
Serikali imeondoa Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kutokana na mashauriano yanayoendelea kati ya Bunge na Serikali. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa tayari Muswada umesomwa kwa mara...
11
Mahakama yafuta kesi za ufisadi dhidi ya washirika wa Ruto
Chini ya Serikali ya Rais William Ruto, waendesha mashtaka wameondoa kesi kadhaa dhidi ya baadhi ya washirika wake kwa misingi ya kesi hizo kukosa ushahidi.Kuanzia Novemb...
13
Fanya haya kuepukana na unyanyasaji wa mitandaoni
Hellow! I hope mko good watu wangu wa nguvu, sasa leo najua utakuwa huna stress ukiwa unasoma habari hii kwasababu ni weekend kama mnavyoelewa watu wengi. Kwa mujibu wa tafiti...
12
Ugonjwa wa chango la uzazi kwa wanawake
Hali ya chango au tumbo kuunguruma wakati wa hedhi inaweza kumfanya mwanamke akakosa raha kabisa. Mwanamke anaweza kujihisi kama vile mwili wake umeongezeka uzito au kwamba tu...
11
50 Cent kuandaa filamu ya maisha ya Hushpuppi
Msanii maarufu wa muziki wa rap wa Marekani 50 Cent ametangaza kuwa anatengeneza msururu wa vipindi vya televisheni (series) kuhusu maisha ya mfungwa - Mnigeria na tapeli ...
11
Elon Musk: Hakuna kufanyia kazi nyumbani
Ikiwa ni wiki mbili tu tangu Elon Musk ainunue kampuni ya Twitter, wafanyakazi wa kampuni hiyo wanaendelea kuuona moto wa mtu huyo tajiri zaidi duniani.Katika barua pepe aliyo...
12
Hizi ndio faida za kula machungwa kiafya
Machungwa yamejaa vitamini na madini, lakini je, yanaweza kuzuia homa? Tunaangazia kwa undani jinsi matunda haya yanaweza kuchangia ustawi wa afya yako. Machungwa ni nini? Chu...

Latest Post