Ooooooooh! Nyie nyie kombe la dunia mwaka huu limeleta balaa, hakika kuna timu zimejipanga safari hii sio pouwa, basi bwana. Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametangaza leo Jumat...
Club ya Manchester United imetangaza kumalizana na Staa wake Cristiano Ronaldo (37) kwa makubaliano ya pande zote mbili. Man United imemshukuru Ronaldo kwa utumishi wake wa v...
Ukosekanaji wa Mvua baadhi ya maeneo mkoani Arusha yamekumbwa na uhaba wa chakula kutokana na ukame, baadhi ya Wakazi wa Arumeru mkoani humo hasa Wanawake na Watoto wame...
Maafisa wa huduma za dharura nchini Indonesia wanaendelea kuitafuta miili zaidi ya watu kutoka kwenye vifusi vya nyumba na majengo yaliyoangushwa na tetemeko la ardhi lililosa...
Kauli ya Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, inafuatia majibu ya Watu mbalimbali Mtandaoni wanaodai Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM na Balozi, Dkt. Bashiru hana sifa za kuiko...
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo ameiambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo katika Dirisha Dogo la Usajili la Januari 2023 Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni ku...
Tetemeko la ardhi limepiga kisiwa kikuu cha Java nchini Indonesia na kusababisha zaidi ya watu 40 kupoteza maisha na mamia kujeruhiwa, walisema maafisa wa eneo hilo.Tetemeko h...
Baada ya Sadio Mane kuondolewa katika michuano ya Kombe la dunia kwa mwaka 2022 kutokana na upasuaji wa mguu aliofanyiwa baada ya jeraha alilopata akiwa na Klabu yake ya ...
Mmiliki mpya wa mtandao wa kijamii wa Twitter Elon Musk ameirejesha akaunti ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump. Hayo yameelezwa na mmiliki mpya wa kampuni...
NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester United Gary Neville ameibuka na kumtaka Rais wa FIFA Gian Infantino kujisafisha kutokana na kauli tata alizozitoa siku moja kabla ya kua...
Staa wa Manchester United na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amekuwa mtu wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 500 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagra...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hakutakuwa na mabadiliko ya bei za bando yoyote hadi tathmini ya gharama itakapokamilika.Tathmini hi...