Kundi la Makampuni ya Uniccon limesema linatazamia kuzindua roboti ya kwanza barani Afrika yenye sura ya binadamu inayoitwa ‘Omeife’, nchini Nigeria. Mkurugenzi M...
Vurugu zilizuka katika bunge la Senegal siku ya Alhamisi baada ya mbunge mwanamume kumpiga mwenzake wa kike kichwani wakati wa bunge. Tukio ambalo lilionyeshwa moja kwa moja (...
Hahhahaha! Make hapa kwanza ncheke, natumai ni wazima wa afya watu wangu wa nguvu, leo basi katika UniCorner tumekuja na mada konki kabisa, I hope wengi wenu itawajenga zaidi ...
Yes, ni wiki nyingine tena ambapo tunakutana kupitia kipingele cha makala za kazi, ajira, ujuzi na maarifa kwa ajili ya kujifunza mambo mengi zaidi yanayohusu sector hii ya aj...
Eiwaaaah, karibu sana mdau na mfuatiliaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida kwenye anga za michezo na burudani wiki hii tumekuandalia jambo kubwa litakalo kusisimua ...
Hellow, its another day, kama kawaida yetu kupitia kipengele chetu pendwa kabisaa cha Fashion ili kuweza kujua mambo kadha wa kadha yanayohusu upande wa urembo bwana.
Leo tuta...
Alright my traveling and adventure peeps. Ni wiki nyingine tena tunakutana hapa katika segment ya BATA BATANI. Basi bwana, wiki hii nipo nchini Indonesia, mji unaitwa BALI.
Ba...
Hii imetokea huko nchini Ethiopia ambapo waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa...
Alooooweeeh! Alooootenaaah! Bwana bwana naona kama disemba imeanza kibabe ama nini maana sio pouwa huko mjini Instagram kumekuwa kwamoto sana kutokana na mastory makubwa makub...
Kutoka Kigoma Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, Siasa Manjenje, amewambia Viongozi wa Serikali ya Burundi na Tanzani kuwa hofu ya Usalama, ukosefu wa Ardhi, M...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya kufanyia mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga ...
Muigizaji maarufu nchini Marekani Will Smith awajia juu waliobeza ujio wake kwenye filamu yake mpya alioipa jina la Emancipation inayotajwa kutofanya vizuri na hiyo inasemekan...