Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji Haramu wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya Barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji wa ...
Tukio hilo limetokea huko Italia ambapo inadaiwa kuwa mtuhumiwa wa mauaji hayo aliingia katika mgahawa uliopo Jijini Rome na kufyatua risasi ambazo pia zilijeruhi wengine wann...
Taarifa kutoka nchini Peru ambapo Maandamano dhidi ya serikali mpya nchini humo yameendelea kuutikisa mji mkuu, Lima, huku mvulana mmoja akiuawa.
Aidha Waandamanaji wali...
Watu 6 nchini Indonesia wamekufa na wengine wawili wamejeruhiwa leo baada ya mlipuko uliyosababishwa na gesi kwenye mgodi wa makaa ya mawe Magharibi mwa Indonesia katika mkoa ...
Habari kijana mwenzangu karibu sana kwenye ukurasa wa Makala za kazi, ujuzi na maarifa bila shaka kupitia dondoo hizi unapata mengi Zaidi yakujifunza kwenye masuala ya kikazi....
Hellow! Niaje wanangu wa nguvu leo bwana katika afya tumeona tuje na mada ambayo ni fupi lakini utapata kujifunza vyakula gani ambavyo ukiviendekeza kuvitumia kwa muda mrefu b...
Timu ya taifa ya Uhispania imemfuta kazi Luis Enrique baada ya nchi hiyo kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia kwa kufungwa na Morocco hatua ya 16 boraUhispania ambayo pi...
Jumla ya kesi 35 za ukatili wa kinjinsia na unyanyasaji wa watoto Mkoani Katavi zilipata mafaniko mahakamani katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba 2022 ukilinganisha n...
Kobe mwenye umri mkubwa zaidi duniani alietambulika kwa jina la Jonathan amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 190. Jonathan anadhaniwa kuzaliwa mwaka 1832 n...
Mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 18 katika jimbo la Arkansas ameripotiwa kuwa meya mwenye umri mdogo kuchaguliwa nchini Marekani. Siku ya Jumanne, alipigiwa kura...
Bunge la Peru limemuondoa madarakani Rais Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamo, Dina Boluarte muda mfupi baada ya Castillo kujaribu kulivunja bunge hilo, ikiwa kabl...