Haloo weeh!! Haloo tenaa!! Yes kama kawaida yetu bwana ikiwa tunamlizia zile shamrashamra na hekaheka za sikuu ya Christmas bwana tukijiandaa kuupokea mwaka mpya wa 2023 mambo...
Niaje niaje wanangu wa vyuoni najua sijachelewa sana kuwaeleza kuhusiana na majambo haya, na hata kama umechelewa unaweza kuyarekebisha coz I hope muda utakuwa nao wa kuyareke...
Mambo niaje mtu wangu wa nguvu ikiwa zimesalia siku kadhaa kuukamilisha mwaka 2022 tukijiandaa kuupokea 2023 panapo majaaliwa yake Mola
Ebwana kama kawaida yetu kupitia makala...
Hellow! Niaje watu wangu wa nguvu wa Mwananchi Scoop, I hope mko pouwa kabisa, sasa leo katika biashara tuko na mada ambayo najua wengi mshazoea blabla mnazo sikia mitaani sas...
Gwiji wa timu ya taifa ya Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé (82), amefariki Dunia jana usiku katika Hospitali akiwa anapatiwa matibabu ya moyo pamoja...
Taarifa kutokea Uzbekistan zinaeleza kuwa dawa ya kikohozi aina ya Doc-1 Max iliyotengenezwa nchini India inahusishwa na vifo vya watoto 18 vilivyotokea hivi karibuni nchini h...
Wataalamu waonya huenda kukazuka aina mpya ya kirusi cha Corona katika wakati huu ambao China inashuhudia kiwango kikubwa cha maambukizi katika mwezi huu, na hivi karibuni iki...
Mahakama ya Pakistan imemwachilia mbakaji baada ya kukubaliana kumuoa mwathiriwa wake katika suluhu iliyosimamiwa na baraza la wazee kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo, kulinga...
Chuo Kikukuu cha Qatar kimetangaza kuwa chumba cha Hoteli alicholala mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi kwenye mashindano ya kombe la dunia nchini humo kitageuz...
Akiwa mpenzi mkubwa wa kuongeza kope bandia kwa karibu mwaka mzima, muuguzi wa Brazili Valéria Campos hakuwahi kufikiria kwamba angeweza kupata aina fulani ya mzio waka...
Waandishi wa habari katika kituo cha habari kikongwe nchini Kenya cha Citizen Tv wanaripotiwa kulishwa sumu baada ya kula chakula siku ya Boxing day, wafanyakazi hao wal...
Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Grace Kiumbu mwenye umri wa miaka 30 Mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe anayedaiwa kuwa ni Mgonjw...
Aloooooh! Kumekucha kumekucha naona kama mwaka unataka kuisha na vita flani hivi sio pouwa yani bwana bwana Staa wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba amewajibu Mameneja ...