Kwa mara ya kwanza maduka ya dawa ya rejareja nchini Marekani yanaweza kuuza vidonge vya kutoa mimba, chini ya mabadiliko ya sheria mpya na utawala wa Biden.Watu wanaweza kupa...
Baraza la Mitihani limefuta matokeo yote ya Wanafunzi 14 walioandika matusi katika upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili mwaka 2022. Necta pia imefuta matokeo yote ya Wanafun...
Mmiliki wa chumba cha kuhifadhia maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 35 jela baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za miili bila ridhaa ya fam...
Kila Januari 4 ya kila Mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Nukta Nundu kwa lengo la kuongeza Ufahamu kuhusu haki za binadamu kwa wenye Ulemavu wa Kuona, na Uoni Hafifu...
Mwanasoka nguli wa Brazil Pele ambae alifanya vizuri sana katika kucheza kwake mpira wa miguu, alipumzishwa katika nyumba yake ya milele baada ya zaidi ya waombolezaji 2...
Shule katika miji miwili mikubwa nchini Malawi zitasalia kufungwa hadi wakati usiojulikana kutokana na mripuko wa kipindupindu unaoendelea kuwa mbaya zaidi.
Wanafunzi walitara...
Nyota wa midundo ya Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy ameomba radhi mashabiki wake baada ya kuchelewa kupanda jukwaani katika tamasha ambalo alipanda jukwaani muda ukiwa umeen...
Kijana mmoja alietambulika kwa jina la Paulo mapunda mkazi wa kijiji cha kipingu Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe anasurika kifo baada kukatwa mguu wake wa kulia na Mamba wakati...
Inasemekana kuwa Kuanzia Mwezi huu wa January,2023 Vijana wa Ufaransa wataagana rasmi na bajeti za kununua condom kwakuwa condom zitaanza kugaiwa bure kwenye maduka yote nchin...
Dubai imeondoa ushuru wake wa asilimia 30 kwenye pombe ikiwa ni jitihada za kukuza utalii ambapo pia itaacha kulipisha pesa ya ada kwenye leseni binafsi ya pombe ambayo alitak...
Saa chache baada ya kuapishwa kwake, Rais mpya wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva, anatarajiwa kuhudhuria hafla ya kumuaga nguli wa soka wa taifa hilo Pele.
Kiongozi huyo mpy...
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Anjela Ameiaga Rasmi Lebo yake ya Kondegang inayomilikiwa na Staa wa Muziki Harmonize kupitia ukurasa wake wa Instagram.
K...
Mkurugenzi wa kampuni ya mtandao wa Twitter na Mmiliki wa Kampuni ya TESLA Elon Musk amekuwa mtu wa kwanza kupoteza dola bilioni 200 Sawa na zaidi ya Tsh. Trilioni ...