Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaonya wananchi wake dhidi ya kampeni zinazounga mkono haki za wapenzi wa jinsia moja akieleza kuwa jambo hilo ni haramu nchini humo.
Mwaka 2...
Taarifa kutoka huko New Zealand ambapo waziri mkuu Jacinda Ardern amesema ataachia Ofisi kabla ya Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushik...
Ripoti mpya ya Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu Kenya (KNBS) imebaini kuwa Wanaume Wakenya wana wastani wa wapenzi (7) katika maisha yao huku wanawake wakiwa na wastani wa wapenzi ...
Muigizaji maarufu nchini Marekani Michael B. Jordan (35) anadaiwa kuanza kutoka na mwanamitindo wa Uingereza Amber Jepson (26) ikiwa ni miezi 6 tangu aachane na Lori Harvey.Kw...
Mtu mkongwe zaidi duniani anayefahamika kwa jina la Lucile Randon ambae alikuwa ni mtawa wa Ufaransa, amefariki akiwa na umri wa miaka 118. Randon alifariki usingizini katika ...
Nyota Wa filamu nchini Marekani Will Smith ameashiria kwamba yupo njiani kuja Zanzibar. Ame-share clip ambayo ikionesha anakaribishwa na wakazi wa Zanzibari, na kuandika ...
Idadi ya watu nchini China imepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 60, huku kiwango cha uzazi nchini humo kikifikia rekodi ya chini watoto 6.77 kwa kila wanawake...
Mbunifu wa mitindo na mwanaharakati wa LGBTQ, Edwin Chiloba atazikwa leo katika Kijiji cha Sergoit.
Marafiki na familia ndio wamechukua mwili kutoka katika chumba cha kuhifadh...
Bosi wa wahalifu wa kimataifa anayesakwa zaidi nchini Italia Matteo Messina Denaro amekamatwa huko Sicily baada ya kutoroka kwa miaka 30.
Messina Denaro aliripotiwa kuzuiliwa ...
Matukio yametokea Kaskazini mwa BurkinaFaso, ambapo Wanawake hao wametekwa katika makundi mawili kwa muda tofauti. Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arb...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito mwishoni mwa wiki wa kupiga marufuku safari za nje ya nchi kwa Wabunge na watumishi wa umma ili kuokoa fedha kwa mambo mengine yenye...
Watu wasiojulikana wamechoma moto makazi ya mhubiri wa kanisa Katoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria. Wakati wa shambulizi hilo, Padre Isaac Achi alichomwa moto mgongoni aki...
Mbunge wa zamani wa Afghanistan Mursal Nabizada mwenye umri wa miaka 32 na mlinzi wake wameuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake katika mji mkuu Kabul.
Kaka yake na mlinzi wa...