Alooooh!!! Karibu sana mdau na mfuatiliaji wa page ya fashion wiki hii bwana nakusogeza rasmi kwenye msimu wa graduation katika shule na vyuo mbalimbali hapa nhini.
Kama unavy...
Oooooooh! Niaje niaje wale wanangu wasiopenda kuajiriwa yaani kuna wale vijana msimamo wao kila siku ni kujiajiri tuu haijalishi iwe biashara au ujasiliamali wenyewe wanasema ...
Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na muda mwingi wa kujihusisha na shughuli za ujasiriamali. Kuna fursa mbalimbali za kibiashara ambazo wanafunzi wa vyuoni wanaweza kuanzisha...
Kupitia ripoti ya Januari-Oktoba 2022, matukio 11 ya ukatili kwa Wanahabari yalirekodiwa nchini Kwa Mujibu wa Ripoti ya Baraza la Habari Tanzania Matukio ya Ukatili kwa...
Beki huyo wa kati wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza Mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp. Hata...
Ooooooh! Ni ijumaa nyingine tena mwanangu sana halafu naona kama inataka kuja kwa kasi hivi maana mambo yanazidi kuwa mengi katika hii dunia kila kukicha linazuka jipya, kama ...
Oooooh! Haya haya kumekucha kumekuchwa wale vipenzi vya apple phone kuna ujumbe wenu hapa, basi bwana unaambiwa Simu mpya za iPhone 14 zimeanza kuuzwa rasmi nchini Tanzania le...
Tafiti zinaonyesha watu wenye maambukizi ya homa ya nyani wanaweza kuwaambukiza wengine siku nne kabla ya dalili kuanza kijitokeza huku kukiwa na mashaka kwamba zaidi ya nusu ...
Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mji huo. Mbu huyo tayari amesababisha v...
Tikiti maji ni moja ya mazao ya kifahari duniani. Tunda hili ni chanzo kikuu maji na ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Wataalamu wanaelezea tikiti maji kama tunda ambalo ni muh...
Nchi 50 za Magharibi zimehimiza China kuwaachia huru wafungwa wa jamii ya Waighur na kutekeleza kikamilifu mapendekezo yote katika ripoti ya Umoja wa Mataifa inayoituhumu kwa ...
Kutoka nchini Malawi ambapo idadi hiyo imeongezeka kutoka 110 ilivyokuwa hapo awali mwanzoni mwa Oktoba 2022 huku maambukizi yakiendelea kuongezeka kwa kasi. Aidha Takw...