Kutoka nchini Brazil ambapo waandamanaji waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, JairBolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasili...
Jeshi la Polisi nchini Kenya limewakamata watu wawili kufuatiwa na mauaji ya Bw Edwin Chiloba, mwanamitindo na mwanaharakati wa LGBTQ.Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (D...
Oooooooooh! Niaje niaje wanangu sana, naona kama week inataka kuanza na moto hivi. Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Kajala Frida ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo t...
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza huchangia katika kumi bora ya vifo duniani katika nchi zenye uchumi mdogo, wa kati na wa juu, takwimu zilizotolewa na shirika la afya dunia...
Huu mwaka nao nishauchoka naona kama uishe tuuu, hahahaha! I hope mko good watu wangu wa nguvu, kama mnavyo jua wafanya biashara tuko na ule msemo wetu, mali bila ya daftari h...
Huduma ya kutuma ujumbe papo hapo ya WhatsApp itawaruhusu watumiaji kuunganishwa kupitia seva mbadala ili waweze kusalia mtandaoni ikiwa mtandao utazuiwa au kukatizwa na...
Hellow!!! Happy new year guys! Bila shaka umefanikisha kuona mwaka mpya wewe ambaye Mungu amekupa nafasi hii adhwimu sana tutoe shukran za dhati kwake.
Kama ilivyokawaida kari...
Polisi Nchini Kenya wanachunguza Chanzo cha mauaji baada ya kukuta mwili wa mwanamitindo maarufu Edwin Chiloba umetupwa Ukiwa Ndani ya Sanduku la Chuma. Kulingana n...
Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana ...
Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha imemuhukumu kifungo cha maisha, John Sanare Lukuaya Mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, kwa kosa la kumbaka Mtoto wa miaka mitatu na miez...
Papa Francis ataongoza leo ibada ya mazishi ya mtangulizi wake Benedict XVI mjini Vatican, Ni tukio ambalo halijawahi kushuhudiwa katika enzi za kisasa na linatarajiwa kuhudhu...