26
Wazazi 763 wakamatwa kwa kutowapeleka shuleni wanafunzi waliofaulu
Taarifa kutoka Ruvuma ambapo Idadi hiyo imefikiwa baada ya msako wa Nyumba kwa Nyumba uliofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, kutokana Wanafunzi wengi wa Dara...
26
Wanafunzi 8 wafariki katika ajali ya boti nchini Ghana
Mamlaka nchini Ghana inachunguza hali iliyosababisha kuzama kwa boti iliyouwa watoto nane wa shule kwenye ziwa Volta, katika eneo la kusini mashariki. Mamlaka za eneo hilo zil...
26
Trump kufunguliwa akaunti yake ya Facebook na Instagram
Aliekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ataruhusiwa kurudi kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram, baada ya Meta kutangaza kumfungulia akaunti zake. Akaunti zake ...
25
Maboss kuwekewa zuio la kuwapigia simu wafanyakazi baada ya saa za kazi
Bunge nchini Kenya limewasilisha muswada ukilenga kuweka zuio kwa waajiri kuwapigia simu waajiriwa wao baada ya saa za kazi.Endapo...
25
Justin Bieber auza haki za nyimbo zake
Muwimbaji nguli na mtunzi wa nyimbo Justin Bieber ameuza sehemu ya haki ya muziki wake kwa kampuni ya muziki ya Hipgnosis Songs Capital kwa dola milioni 200. Kampuni hiyo sasa...
25
Mwanafunzi aliyeuawa vitani Ukraine kuzikwa leo
Mwanafunzi wa Zambia Lemekhani Nyirenda, aliyefariki September mwaka jana alipokuwa akipigania vikosi vya Urusi nchini Ukraine, anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano. Nyirenda ...
24
Marufuku kuwalaza watoto chumba kimoja na wageni
Taarifa kutoka mkoani Tanga ambapo Wazazi na walezi Mkoani humo   wametakiwa kuacha tabia ya kuwalaza watoto wao na wageni mbalimbali majumbani ili kuwaepusha na vit...
24
Nguruwe aua mchinjaji
Huko Hong Kong, mfanyakazi wa kichinjio amefariki alipokuwa akijaribu kuua nguruwe, shirika la habari la CNN na The Mirror imesema. Mchinjaji mwenye umri wa miaka 61 alimshtua...
24
Roberto Oliveira aenda Brazil
  Taarifa kutoka klub ya Simba imeleezwa kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Roberto Oliveira ameondoka Usiku wa kuamkia leo (Januari 24) kwenda kwao Brazil kwa shughuli bi...
24
Waziri wa zamani Rwanda aswekwa jela miaka 5
Mahakama kuu nchini Rwanda mjini Kigali imemuhukumu aliyekuwa waziri wa utamaduni nchini humo, kifungo cha miaka mitano jela kwa madai ya rushwa. Rais Paul Kagame alimfukuza k...
23
Raia waombwa kula miguu ya kuku
Taarifa kutoka Misri ambapo taasisi ya Kitaifa ya Lishe nchini humo imetoa wito kwa watu kula miguu ya kuku badala ya nyama. Uamuzi huo umekuja  kutokana na gharama ya mi...
23
Rais Hakainde: Acheni kupeleleza simu za wapenzi wenu
Rais nchini Zambia, Hakainde Hichilema amewataka raia wa nchi hiyo kuacha kuchunguza simu za wenzi wao na maoni hayo yamekuja kwa kujaribu kupunguza viwango vya talaka nchini....
23
MAHUSIANO: Kama kweli mtoto wa mama mkwe anakupenda atakufanyia mambo haya
Ooooooooh! Tumerudi mjini bwana, ni kama tuliwapa break Fulani hivi, si mnajua tena maisha bila mahusiano hayawezi kwenda kabisa?&...
23
Mwanamke wa kwanza kutawazwa kuwa mchungaji
Katika maeneo mengi ya kikristo duniani, kuwa na viongozi wa kike wa kanisani si jambo geni sana. Lakini mpaka sasa, nchi takatifu ambapo matukio mengi katika biblia yamewekwa...

Latest Post