Mahakama nchini Libya imewahukumu kifo watu 17 baada ya kuwakuta na hatia ya kujiunga na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu (IS) na kufanya uasi kwa kutumia jina hi...
Huwenda mkali wa soka na mchezaji bora katika kombe la dunia 2022, Lionel Messi akacheza tena katika kombe la dunia mwaka 2026, tofauti na alivyoashiria mwanzoni kustaafu baad...
Taarifa rasmi kutoka kwa Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Exhahudi Kigahe amesema bei za vyakula kwa mwezi December mwaka huu zimeendelea kupanda kutokana na vit...
Mwanamke mwenye umri wa miaka (20) amehukumiwa kifungo cha Miezi 6 baada ya kukubali kosa. Awali alihukumiwa Kifo kwa kupigwa Mawe lakini baada ya Malalamiko ya Wanaharakati,...
Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kufanya ziara barani Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara ambayo itakuwa ya kwanza katika wadhifa wake wa urais.
Rais Biden atafanya ziara h...
Maelfu ya wauguzi kwenye hospitali za nchini Uingereza wameanza mgomo mkubwa kudai nyongeza za mishahara.
Manesi wanashiriki kwenye mgomo huo katika maeneo yote ya England, Wa...
Kutoka nchini Nigeria ambapo hukumu imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi k...
Serikali ya Peru imetangaza siku 30 za hali ya hatari nchi nzima. Katika tangazo hilo la jana, Waziri wa Ulinzi Alberto Otarola alisema haki ya kukusanyika, kutoingiliwa majum...
Inadaiwa Nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake, JorgeMendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya Timu ambayo Ronaldo anatakiwa kuji...
Suruali ya kiume ambayo maafisa wa mnada wanaamini kuwa inaweza kuwa ndio jeans kongwe zaidi duniani imeuzwa kwa dola 114,000 (£92,010). Suruali hiyo ilipatikana bahari...
Taarifa hii kutoka nchini Marekani ambapo Muswada huo ni mwendelezo wa kuupinga Mtandao wa TikTok unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China. Aidha Novemba 2022,...
Kutoka mkoani Kagera ambapo Jeshi la Polisi Mkoani humo linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuiba Mtoto mchanga wa mwezi mmoja na kisha kwenda naye kwa Mganga wa ...
China imetangaza kusitisha kampeni yake ya kupambana na maambukizo mapya ya UVIKO-19 kwa kusimamisha programu ya simu za mkononi inayofuatilia maambukizo hayo.
Hatua hiy...