30
Kim Kardashian kulipwa zaidi ya million 466 kwaajili ya matumizi ya watoto
Mwanamitindo maarufu nchini Marekani, Kim Kardashian na Rapper Ye (Kanye West) wamefikia makubaliano ya pamoja ya talaka yao ambay...
30
Azika mtoto akiwa hai kisa kupata utajiri
Binti mmoja mkazi wa kijiji cha Mahaha, wilayani Magu, mkoani Mwanza, Zawadi Msagaja (20) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumzika mtoto akiwa hai ili...
30
Kwa mujibu wa Sensa Uingereza, idadi ya Wakristo yashuka England na Wales
Kwa mara ya kwanza nchini Uingereza takwimu za sensa ya watu na makazi zimeonesha, chini ya nusu ya idadi ya watu England na Wales...
29
Majaliwa: Endeleeni kutafuta vyanzo vipya vya maji
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya vya maji na kuviingiza kwenye mfumo. Amesema k...
29
Kesi nyingi za ukatili dhidi ya wanawake haziripotiwi
Hayo yamebainishwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ambapo ameviagiza Vyombo vya Dola viongeze nguvu kupambana na kudhibiti Ukatili dhidi ya Wanawake, Watoto wa Kike na w...
29
Elon Musk adai kuwa Apple imetishia kuiondoa Twitter katika program zake
Mmiliki mpya wa kampuni ya mtandao wa kijamii wa Twitter, Elon Musk amedai kampuni ya Apple imeshasitisha mata...
29
Uhuru Kenyatta arejea tena mitandaoni
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amerejea mitandaoni baada ya kutokuwa kwa zaidi ya miaka 2. Kiongozi huyo amerudi kwa kufungua akaunti mpya iliotambulika kwa jina la &nbs...
29
Muigizaji wa Squid Game ashtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono
Muigizaji wa Squid Game, O Yeong-su ameshtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono baada ya kumshika mwanamke, mahakama nchini Korea Kusini wanasema.Mzee huyo mwenye umri wa miaka 78 ...
28
Al-shabaab wavamia hoteli iliyopo karibu na Ikulu
Kutoka nchini Somalia ambapo Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na Maafisa wa Ju...
28
Maporomoko ya ardhi yauwa watu 11 nchini Cameroon
Maporomoko ya ardhi yameuwa watu wasiopungua 11 waliokuwa kilioni katika mji mkuu wa Cameroon, Yaounde. Maafisa wa eneo hilo wamesema wahanga walikuwa wamekusanyika juu ya kil...
28
Kombe la Dunia lazua Ghasia Ubelgiji baada ya timu ya taifa kushindwa na Morocco
Polisi wa Ubelgiji wametumia nguvu kuyatawanya makundi ya watu katika mji mkuu Brussels katika ghasia zilizozuka kufuatia timu ya ...
27
Mambo ya msingi kuyafanya boom linapoingia
Ooooooooh! Haya haya wale wanangu wa vyuoni, kama mnavyojua hakuna siku ya furaha kama siku boom linapoingia, labda kama ulikuwa na madeni mengi na unaona ukilipia boom unabak...
27
Fahamu kiundani kuhusu aleji (allergies)
Mzio au aleji (allergy) ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote (ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili) inapotokea kimeingia nda...
27
Wachezaji 10 bora katika historia ya kombe la dunia
Aloooooh ukisikia shangwe mambo oyaoya sasa hivi hususan kwenye anga ya burudani bwana kombe la dunia ambalo linaupiga mwingi huko Qatar ama kwa hakika tayari limezinduliwa.&n...

Latest Post