Habari mtu wangu wa nguvu, karibu kwenye makala za kazi, ujuzi na maarifa, kama unavyofahamu kila wiki huwa tunapeana mbinu mbalimbali zinazohusu masuala ya kazi.
Katika mazin...
Its Friday watu wangu wa nguvu, basi bwana weee, wiki hii kwenye fashion mambo ni moto, mambo ni firee watoto wa mjini wanasema hivyo.
Yap ndani ya kipengele cha Fashion wiki ...
Alright my traveling and adventure peeps. Ni wiki nyingine tena tunakutana hapa katika segment ya BATA BATANI. Basi bwana, wiki hii nipo nchini Jordan, sehemu inaitwa PETRA.
P...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amesema mgao wa maji katika mkoa wa dar es salaam umefika mwisho mara baada ya kuongezeka kwa maji katika kituo cha Maji cha Ru...
Bunge dogo la Urusi limepiga kura kwa kauli moja kuongeza marufuku yake kwa kile kinachoitwa "propaganda za mapenzi ya jinsia moja". Chini ya toleo la hivi punde la sheria, u...
Breel Embolo ni mchezaji wa Uswizi alifunga bao pekee dhidi ya Cameroon nchi aliyozaliwa katika mechi ngumu ya kwanza ya Kundi G ya Kombe la Dunia. Embolo alikataa kusherehek...
Polisi nchini India wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 (lbs 440) za bangi iliyonaswa kutoka kwa wachuuzi na kuhifadhiwa katika vituo vya polisi.
"Panya ni wanyama ...
Nyieeee unaambiwa usinene ukamara bwana, kumbuka kuweka akiba ya maneno, pia usiseme sana bwana, mambo yameanza kutaradadi kupitia mitandao ya kijamii bwana ambapo kumesambaa ...
Serikali ya Somalia imesema wapiganaji 49 wa kundi la Al Shabaab wameuliwa katika operesheni ya kijeshi kwenye eneo la Lower Shabelle kufuatia kampeni inayoendelea kwa miezi k...
Inasemekana kuwa chanzo kikubwa cha magonjwa ya mabusha ni vimelea vya minyoo jamii ya filaria, ambavyo vinaingia kwenye damu na vinaweza kusababisha maji kujikusanya sehemu z...
Maamuzi hayo yanatarajiwa kutekelezwa kuanzia katikati ya Mwaka 2023 na mchakato utaendelea hadi utakapokamilika Mwaka 2024 Ujerumani ina Wanajeshi 1,000 Nchini Mali, wengi w...
Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa Nchini umeonesha zaidi ya Watu wazima Milioni 47 wameoza Meno na chanzo kikuu ni kutosafisha kinywa ipasavyo(vizuri)...