17
Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki
Jeshi la Polisi huko Songwe linawashikilia Watu 3 ambao ni Mchungaji Julius Mwansimba (Baba mzazi wa marehemu) na Watoto wake, Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Ann...
16
Chadema kuanza mikutano ya hadhara Desemba 2022
Msimamo huo umetangazwa Wilayani Sengerema na Mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche kwa maelezo kuwa suala hilo ni Haki yao Kikatiba Heche amesema “Ndani ya mwezi mmoja ujao...
16
Biden asema Trump aliiangusha Marekani wakati wa utawala wake
Rais wa Marekani Joe Biden, leo amejibu Tangazo la rais wa zamani wa taifa hilo Donald Trump kwamba atawania kiti cha urais mwaka 2024, akisema chama cha Republican kiliiangus...
16
Afisa mtendaji ahukumiwa jela miaka 2 kwa ubadhirifu
Kutoka Songwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu kwa Lukas Alcado Chole na kumtaka kurejesha Tsh. Milioni 35.7 akimaliza kifungo. Amekutwa na hatia ya Ma...
18
Davido na Chioma wadaiwa kufunga ndoa
Hellow! Bwana weeee! Niaje mko pouwa watu wangu wa nguvu, kama kawaida weekend tunaimaliza kwa yale mastori makubwa yaliotrend kupitia mitandao ya kijamii, basi bwana, Kati ya...
16
Trump atangaza nia ya kuwania urais 2024
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza nia yake ya kugombea tena Urais na kurudi Ikulu ya White House mnamo 2024. Trump alizindua nia yake hiyo - ya tatu ya urais...
15
Bill Gates awasili Kenya kwa ajili ya ziara yake
Bilionea mkubwa duniani na mfanyabiashara wa Marekani Bill Gates yuko nchini Kenya ambapo anatarajiwa kufanya mazungumzo na Wakenya kuhusiana na masuala mbalimbali.Mwanzilishi...
15
Kocha wa makipa wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya
Kocha wa makipa wa klabu ya Simba, Muharami Said Sultan amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroin.Taarifa hizo zimetolewa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na ...
15
Ujenzi Ikulu Chamwino wakamilika
Ebwana moja kati ya taarifa njema kabisaa hususani kwa Watanzania ni hii hapa ambapo tayari ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika. Ujenzi wa Ikulu ya Tanzania wilayani Chamw...
15
Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa fidia kwa siri
Mkurugenzi wa Shirika la Precision Air, Patrick Mwanri, amesema mchakato wa malipo utakuwa kati ya familia za waliothirikana ajali ya ndege na utafanyika kwa umakini mkubwa. &...
15
Marekani yatangaza zawadi nono kwa taarifa juu ya Al-Shabab
Marekani imesema itatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa yeyote ambaye atakuwa na taarifa kuhusu viongozi wakuu wa Al-Shabab.     Wizara ya mambo ya nje ...
15
Mwanaume Songwe akamatwa kwa kumuua, kumchoma kama mishakaki na kumla mwenzake
Lazaro Adamson mwenye umri wa miaka (40) mkazi wa Kaloleni, wilayani Songwe, anashikiliwa na polisi mkoani humo kwa kumuua Be...
15
Zambia yataka majibu kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyefariki Ukraine kwa mazingira ya kutatanisha
Zambia imetaka majibu kuhusu kifo cha mwanafunzi Lemekhani Nyirenda, aliyefariki nchini Ukraine kwa mazingira ya kutatanisha.Kijan...
14
Jela kwa kujirekodi anakula popo
Hii imetokea huko nchini  Thailand ambapo Mwanamke mmoja raia wa nchi hiyo aliyefahamika kwa majina , Phonchanok Srisunaklua anakabiliwa na kifungo cha miaka mitano jela ...

Latest Post