Majaliwa Jackson, kijana aliyewezesha kuokolewa kwa watu 24 katika ajali ya ndege ya Precision Air katika Ziwa Victoria, iliotokea Novemba 6 mwaka huu, leo amefika Bungeni jij...
Rais Samia amepewa tuzo ya CARE Impact Award for Global Leadership iliyotolewa na Shirika lisilo la Kiserikali la Kimataifa la CARE, Tuzo hiyo imetolewa Jijini New York, Marek...
Mmiliki Mpya wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk bado anaendelea kuwajibu na kuwakera watumiaji wa mtandao huo ambao wanalalamika kuhusu mchakato wake wa kutaka kulipisha do...
Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akidaiwa kuchapisha mtandaoni taarifa zenye kuharibu hadhi ya Rais Samia Suluhu na Rais m...
Mahindi hayo yanatarajiwa kuuzwa kwa bei ya Tsh. 830 kwa Kilo, kwa Wananchi katika Vijiji vya Wilaya ya Ikungi waliokumbwa na uhaba wa Chakula kutokana na kupata Mavuno kidogo...
Bobi Wine awaonya wakenya juu ya pendekezo la kuondoa ukomo wa muhula wa urais nchini humo. Kiongozi huyo wa upinzani Uganda, amewataka Wakenya kuwa macho kwa kulinganis...
Kampuni ya Twitter imewafuta kazi takriban wafanyakazi wake wote nchini Ghana, ikiwa ni wiki moja baada ya bilionea Elon Musk kuchukua uongozi wa kampuni hiyo.Chanzo kimoja ki...
Mwanamume mmoja amekamatwa baada ya mayai kurushwa kwa Mfalme na Malkia Consort wakati wa ziara ya York, Uingereza. Kijana huyo mwenye miaka 23, alisikika akipiga kelele "nchi...
Rais wa South Africa Cyrill Ramaphosa akiwa Nairobi, Kenya leo ametangaza kuwa kuanzia January 2023 Wakenya wataruhusiwa kwenda nchini South Africa bila kuhitajika kuwa na VIS...
Mshambuliaji wa Klabu ya Bayern Munich, Sadio Mane atakosa fainali za Kombe la Dunia baada ya Kupata majeraha ya goti kwenye mchezo wa Bundesliga dhidi ya Werder Bremen. Hata...
Shirika linalofuatilia haki za binadamu nchini Syria limesema watu 14 wamefariki dunia baada ya shambulizi kufanywa katika msafara wa kijeshi wa waasi wanaoungwa mkono na Iran...