03
Tafiti zinasema homa ya Nyani husambaa kabla ya dalili kujitokeza
Tafiti zinaonyesha watu wenye maambukizi ya homa ya nyani wanaweza kuwaambukiza wengine siku nne kabla ya dalili kuanza kijitokeza huku kukiwa na mashaka kwamba zaidi ya nusu ...
03
Mbu hatari kutoka bara la Asia ahamia Afrika
Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mji huo. Mbu huyo tayari amesababisha v...
02
Siri ya mbegu na ganda la tikiti kwa wapenzi
Tikiti maji ni moja ya mazao ya kifahari duniani. Tunda hili ni chanzo kikuu maji na ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Wataalamu wanaelezea tikiti maji kama tunda ambalo ni muh...
02
Nchi 50 zaihimiza China kuwaachia huru wafungwa
Nchi 50 za Magharibi zimehimiza China kuwaachia huru wafungwa wa jamii ya Waighur na kutekeleza kikamilifu mapendekezo yote katika ripoti ya Umoja wa Mataifa inayoituhumu kwa ...
02
Waliofariki kwa kipindupindu wafika 183
Kutoka nchini Malawi ambapo  idadi hiyo imeongezeka kutoka 110 ilivyokuwa hapo awali mwanzoni mwa Oktoba 2022 huku maambukizi yakiendelea kuongezeka kwa kasi. Aidha Takw...
01
Rapa anayeunda kikundi cha Migos TAKEOFF auwawa kwa risasi
Rapa anayeunda kikundi cha MIGOS, Kirshnik Ball maarufu kama Takeoff (28) ameuwawa nchini Marekani baada ya kupigwa risasi pamoja na rapa mwenzake Quavo.Takeoff ambaye ni bina...
01
Ruto aamuru mageuzi ya Jeshi la Polisi
Rais Ruto amesisitiza dhamira ya Serikali yake katika kukomesha Mauaji holela Nchini humo, kwa kuagiza Mipango ya Mageuzi ya Jeshi hilo na uangalizi wa Raia Hayo yamejiri Sik...
01
Faida za kula boga kiafya
Boga (Pumpkins)  ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash.  Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake h...
01
Mtoto wa Davido afariki
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari nchini Nigeria vinaripoti kuwa mtoto wa mwanamuziki Davido Adeleke na Mpenzi wake Chioma Rowland amefariki Dunia Mtoto huyo anayefa...
31
Rais Samia: Wanawake jeshi kubwa
Ooooh! Haya wale wa tunaweza wameupigwa mwingi sana katika matokeo ya sensa ya watu na makazi, wanawake ndio wengi Zaidi ambapo kauli hiyo imetolewa na Rais wa jamuhuri ya muu...
31
Rwanda yaishutumu Kongo kwa kumfukuza balozi wake
Rwanda imemshutumu jirani yake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kuchochea wasiwasi baina yao baada ya Kongo hapo jana kumuagiza balozi wa Rwanda kuondoka nchini humo katik...
31
Watu 11 wafariki katika tamasha la Fally Ipupa
Watu 11 wamefariki Jumamosi wakiwemo maafisa wawili wa polisi katika mkanyagano kwenye uwanja wa michezo uliokuwa umefurika watu waliokwenda kuhudhuria tamasha la mwanamziki F...
31
Lula Da Silva ashinda tena urais Brazil
Rais wa zamani wa Brazil Luis Inacio Lula da Silva ameshinda duru ya pili ya uchaguzi baada ya kumuangusha mpinzani wake Jair Bolsonaro na kutoa mwito wa amani na umoja baada ...
30
Kansa ya matiti
Katika kuelekea kilele cha kutoa elimu Kwa jamii juu ya ugonjwa wa kansa ya matiti tarehe 31 oktoba, jarida lako pendwa la Mwananchi scoop linakuletea nakala likifafanua Kwa k...

Latest Post