Mtu anayesadikiwa kuwa mchafu kuliko wote Duniani Amou Haji a.k.a Mjomba Haji (94), amefariki dunia nchini Iran miezi michache baada ya kuoga kwa mara ya kwanza baada ya miaka...
Aliye kuwa kocha mkuu wa zamani wa klabu ya Simbasc Zoran Maki ameendelea kufaya vizuri katika Ligi Kuu ya Misri akiwa na klabu yake ya Al Ittihad baada ya jana kupa...
Wazazi wameshauriwa kuzingatia kuwa Watoto wakiwa na changamoto za kiafya kama kuwa na vichwa vikubwa au mgongo wazi badala ya kuishia kuwafunga hirizi miguuni, mikononi na sh...
Alooooh! Wale wenzangu wa kuweka mistatus mingi kama nawaona mnavyo zima data na kuwasha basi bwana kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kwamba mtandao huo unashida kidogo...
Hii imetokea huko nchini Kenya ambapo kupitia taarifa ya Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Sha...
Aisee!!Klabu hiyo imemtangaza kocha huyo wa zamani wa Arsenal na Villarreal kuchukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard. Aidha Emery anatarajiwa kuanza majukumu Novemba Mos...
Picha za wanafunzi waliovalia "kofia za kuzuia udanganyifu" wakati wa mitihani ya chuo kikuu zimeenea kwenye mitandao ya kijamii nchini Ufilipino, na kuzua burudani si haba mi...
Kutoka huko Uingereza ambapo Rishi Sunak anaweza kutangazwa kushika nafasi hiyo leo Oktoba 24, 2022, kufuatia Waziri Mkuu wa zamani, Boris Johnson, kujiondoa katika mchakato w...
Afisa mmoja wa juu wa afya nchini Sudan Fath Arrahman Bakheit amesema mapigano ya siku mbili ya kikabila kusini mwa nchi hiyo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 220.
Mapi...
Hellow! I hope mko good kabisa watu wangu wa nguvu kama kawaida katika kipengele chetu cha unicorner tuko na mada hatari sana ambayo itakusaidia sana kubalance muda wa kujisom...
Habari kijana mwenzangu karibu sana kwenye ukurasa wa Makala za kazi, ujuzi na maarifa bila shaka kupitia dondoo hizi unapata mengi Zaidi yakujifunza kwenye masuala ya kikazi....
Aloooooooh! Wale wapenzi wa kufanya biashara, leo tumekujia na biashara ambayo ikifa basi wewe tu umependa biashara hiyo iweze kufa kwasababu kila siku watu wanajenga na sio k...