Ooooooh! Niaje wanangu sana natumai ni wazima wa afya naona ni furahi day nyingine tena tunakusogezea jarida letu pendwa kabisa, basi bwana leo kwenye kipengele chetu cha fash...
Alooooh! Tunajua unajua lakini tunakujuza Zaidi maana katika mambo ya afya kila siku zinazuka tiba mpya so ukiona Makala yoyote kuhusu afya usipuuzie kuisoma maana huwezi jua ...
Ebwana eeeh uamuzi huo umechukuliwa baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Fulham katika mchezo wa Premier League Villa imeshinda mechi 2 za EPL kati ya 11 msimu huu,...
Taarifa hii imetokea huko mkoani Mtwara ambapo Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limefanya uwamuzi huo kwa wauguzi wasaidizi wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Mas...
Hahahhaa! Make hapa kwanza nchekee, sio powa kabisa yule Mandonga mtu kazi bwana amefunguka na kusema kuwa safari hii amekuja kivingine na kutambulisha ngumi yake mpya inaitwa...
Waziri mkuu wa Uingereza Liz Truss amejiuzulu. Truss amejiuzulu jana, wiki sita tu baada ya kuchukuwa wadhifa huo, licha ya hapo jana kusisitiza kwamba hatang'atuka mamlakani....
Oooooh! Watu wangu wa nguvu natumai ni wazima wa afya basi bwana kila siku kunatokea mambo mazito katika hii dunia, kubwa kuliko ni kuhusiana na Twiga kumuua mtoto mchanga wa ...
Wanaume wengi nchini Kenya wameanza kuvutiwa na upasuaji wa kufunga mirija ya mbengu za uzazi,Vasektomi. Haya ni kwa mujibu wa Marie Stopes nchini Kenya. “Tumepokea mao...
Indonesia imepiga marufuku kwa muda dawa zote za maji kufuatia vifo vya watoto wapatao 100 kutokana na uharibifu wa figo. Haya yameripotiwa leo na wizara ya afya nchini humo.
...
Kaunti 6 nchini Kenya, ukiwemo mji mkuu Nairobi, zinakabiliwa na janga la kipindupindu. Takriban maambukizi 60 yameripotiwa huku watu 13 wakilazwa hospitalini.
Hii ni kulingan...
Watu wawili akiwemo mwanajeshi mmoja wamekufa katikati mwa Somalia kufuatia shambulio la kujitoa muhanga lililofanywa jana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab, kundi lenye mafun...
Oooooh! Bwana bwana siku hizi wabongo wameamua kurudi mjini kwa kutoa ngoma kali, kwa upande wa Msanii AT mfalme ambae alitikisa kupitia muziki wake wa mduara miaka ...
Nyoka huchukuliwa kuwa hatari kubwa, waerevu na mara nyingine hata kuhusishwa na imani potofu na uchawi katika baadhi ya jamii za Kiafrika.
Kwa kawaida nyoka anakuwa juu ya or...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameondoa marupurupu yenye utata kwa mawaziri na manaibu wao ambao walikuwa zikisambaziwa umeme na maji bila malipo. Manufaa hayo yalizua...