Moja ya story zinazogonga vichwa huko mitandaoni ni hii ya barua ya msanii maarufu aliyezaliwa jijini New York na kuishi California, Tupac Shakur imetangazwa kuuzwa kwa Sh Mil...
Hakuna mtu yeyote kutoka Dar es Salaam na mikoani huko ambaye ni ngumu kumfahamu Rashidi Makwiro maarufu kama Chidi Benz.
Mwamba huyu alifanya vizuri miaka ya nyuma ila ...
Ni Alhamisi nyingine tena, yenye utulivu na usikivu kwa wasomaji wangu wa nguvu kabisa. Naamini wengi wenu mpo salama kabisa hapo chuoni na mmekaa mkao wa kupokea nilichowaand...
Moja ya story inayobamba katika mitandao ya kijamii ni ya Staa wa muziki Bongo Alikiba ambaye amemjibu Maua Sama.
Alikiba alifunguka na kusema kuwa hakuna mtu wa kumpiga akiru...
Eebwana ulishawahi kusikia usemi wa msanii wa BongoFlava Tundaman ambao unasema kama una rafiki snitch, mpenda bata, miyayusho au humuelewi we mpunguze tu.
Basi huo usemi pia ...
Ebwana eeeh!!! mambo vipi kijana mwenzangu! Hivi ukihitaji kununua simu mpya unafahamu vigezo vya kuangalia kabla hujafanya maamuzi? Usiogope ni mambo madogo tu chukua hii hap...
Nilifahamiana na huyu kijana mwaka 2004, tulipokutana pale kituo cha utamaduni cha Russia, akawa ni rafiki yangu wa karibu sana. Tulikuwa na mazoea ya kutembeleana mara kwa ma...
Name ;Ashura Ngwai University;Udsm Position:Student Course;Journalism year of study;Second year Favourite sport;Football Hobbies;Listening music Dream;To be a best presenter...
Moja ya story ambazo zinaendelea kuleta gumzo katika mitandao ya kijamii ni hii ya mchekeshaji kutokea pande za Kenya, Erick Omondi ambaye amefunguka na kusema Amapiano imeua ...
Producer kutokea pande za Marekani DK. Dre, rasmi sasa wamefikia makubaliano ya kuvunja ndoa yake na aliyekuwa mke wake Nicole Young japo atatakiwa kumlipa mwanadada huy...
Sara Akoko, ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anayechukua course ya Bachelor of Art in Geography and Environmental Studies.
Akoko anajihusisha na biasha...
Aiseee!!!moja kati ya stori ambayo imewashtua wengi na kuleta gumzo huko mitandaoni ni hii hapa inayohusu kifo cha Mwimbaji na mtunzi mashuhuri wa Congo Lulendo Matumon...
Kijana mwenzangu nafahamu kuwa mara nyingi katika maisha yako uwa vipo vitu ambavyo ukivielewa na kuvifanyia kazi vizuri vinauwezo mkubwa wa kubadilisha maisha yako na k...
Ohooo!!! Niaje mtu wangu kama kawa kama dawa leo ikiwa ni jumatatu tulivu kabisa baada ya shamrashamra za sikuu ya Christmas hatimaye imepita salama bwana na kama umepitia wak...