Kazi ya hoteli inahitaji uvumilivu, subira, uaminifu, kujituma na unyenyekevu. Ni kazi inayohitaji kujitoa sana na kuwa na utu na nidhamu ya hali ya juu.
Hebu fikiria so...
Ngoja leo tuambizane ukweli hapa mpambanaji wangu. Je, ni kipi unafikiria baada ya kumaliza masomo yako? Je, kauli hii inatembea kichwani mwako au umeamua kujitambua na kufany...
Yees!! Ni ijumaa nyingine tena tunakuta mdau wangu karibu sana kwenye ukurasa wa makala za michezo na burudani kama kawaida huu ndiyo uwanja wa kujidai mwanamichezo mwenzangu....
Habari msomaji wetu, leo tunakutana tena ili kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na masuala ya urembo, mitindo na mavazi ambayo najua uwenda unayajua ila mimi nakujua za...
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema ni lazima washinde michezo yao yote iliyosalia kama wanataka kuwa mabingwa wa Ligi Kuu England. Kocha huyo mjerumani amesema hayo baada...
Ebwana eeh!! tegemea kukutana na na ngoma mpya kutoka kwa Ay pamoja na Mwanafa siku za hivi karibuni.
Sasa basi kutoka kwenye ukurasa wa Instagram Ay amepost kipande cha...
RODJAZZ
Birthday: May 8th, 1996
Kazi: Musician
Rodjazz (Rodgers George) ni mwanamuziki wa Kitanzania anayefanya muziki wa maadhi ya Bongo Fleva, Afro Pop RnB, na Soul.Amerekod...
Leo katika fitness tumekuwekea kanuni 10 za kufuata ili mazoezi yako unayoyafanya yawe bora na kuleta faida na manufaa katika mwili.
Kanuni hizo ni hizi zifuatazo:
Mazoezi ya...
Unavyoonekana? Je! Wewe unajionaje? Je! Unafikiri wengine wanafikiria wewe? Je! Unafikiri una uwezo wa kufikia kile ulichokusudia kufanya? Je! Unafikiri unajipenda vya kutosha...
‘Sumu ya penzi ukishailamba hata kwa maziwa huwezi kupona, siyo kama mimi nakukataa ila moyo wangu unasita, wazazi wangu watanishang’aa nyumbani wewe ulishatoroka....
Msanii wa Bongo Fleva Sunday Mseda Alias maarufu kama Linex Linenga amefunguka huko mitandaoni na kusema kuwa mtu muoga sio dhambi.
Linex ambaye amefanya na anaendelea kufanya...
Mchezaji namba 3 kwa ubora katika mchezo wa tenisi duniani na bingwa wa Olympic, Alexander Zverev ameondolewa katika michuano ya Mexican Open.
Zverev ameondolewa katika michua...
Uvutaji wa tumbaku inayotumika kutengeneza sigara ni tabia hatarishi inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa mvutaji na watu wa karibu yake wanaovuta moshi anaoutoa.
Licha y...