Producer kutokea pande za Marekani DK. Dre, rasmi sasa wamefikia makubaliano ya kuvunja ndoa yake na aliyekuwa mke wake Nicole Young japo atatakiwa kumlipa mwanadada huy...
Sara Akoko, ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anayechukua course ya Bachelor of Art in Geography and Environmental Studies.
Akoko anajihusisha na biasha...
Aiseee!!!moja kati ya stori ambayo imewashtua wengi na kuleta gumzo huko mitandaoni ni hii hapa inayohusu kifo cha Mwimbaji na mtunzi mashuhuri wa Congo Lulendo Matumon...
Kijana mwenzangu nafahamu kuwa mara nyingi katika maisha yako uwa vipo vitu ambavyo ukivielewa na kuvifanyia kazi vizuri vinauwezo mkubwa wa kubadilisha maisha yako na k...
Ohooo!!! Niaje mtu wangu kama kawa kama dawa leo ikiwa ni jumatatu tulivu kabisa baada ya shamrashamra za sikuu ya Christmas hatimaye imepita salama bwana na kama umepitia wak...
Yees!! Unaambiwa mambo mazuri bhana na bahati humdondokea mtu bila kuwa na yakini ya kupata jambo Fulani hii imedhihirika kwa Muigizaji mwenye wafuasi wengi zaidi instagram ak...
Ebwana eeeh!! Moja kati ya stori ambayo imebamba huko mitandaoni bwana ni kuhusiana na Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamondplatnumz ameshinda Tuzo ya msanii bora wa mwaka.
Diam...
Habari yako mdau na mfuatiliaji wa magazine ya Mwananchi scoop kama kawa kama dawa ikiwa tumebakiza siku moja kueleekea kwenye sikuu ya Christmas bwana kama ilivyoada Ijumaa h...
Habari msomaji wa fashion, Ni wiki nyingine tena tunakutaka ni kiamini kuwa u mzima wa afya tele na unaendelea na masomo yako pamoja na majukumu ya kulijenga taifa hili.
Leo h...
Yaap!! hii ni kutoka kwenye ukurasa wa msanii dogojanja ameamua kumuandikia ujumbe huu young daresalama katika siku yake ya kuzaliwa hiki ndicho alichokiandika
''My...
Unaambiwa bwana moja kati ya stori ambayo imesumbua mitandaoni ni hii hapa ambapo Cardi B hataki masihara kabisa kwa Offset, kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa kwa 'Baby ...
Moja ya habari huko mitandaoni ni kufutwa kwa kesi ya Trilioni 9.2 iliyokuwa inamkabili msanii kutokea Marekani Drake maarufu pia kama Champagnepapi.
Kesi hiyo ambayo ilifungu...
By Manas Gupta, Augustman.
What exactly is the Metaverse?
Ever since Facebook rebranded itself as Meta, discussions and debates on what Metaverse is has been doing the rounds....
Ilikuwa ni mwaka 1987, wakati huo nilikuwa naishi na kaka yangu mkubwa maeneo ya Kinondoni Msufini. Basi siku moja asubuhi tukapata mgeni na hakuwa mwingine bali ni mjomba wet...